Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Hizi lawama na vitisho vinavyotolewa na vyama vya upinzani si sawa hata kidogo. Haka kamtindo kanakoendelea hadi kufikia kiasi cha kupeleka maswala kama haya bungeni sidhani kama mwenendo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yahusu ombi la kugombea Rais wa Tanzania Ndugu zangu Watanzania, Naomba kuwasilisha ombi langu kwenu kama Wananchi na Taifa ili nigombee Urais wa nchi hii ili kulikwamua taifa letu kutoka...
7 Reactions
58 Replies
6K Views
Tumezichoka. PAC msizitaje nyingine. Masikio yetu yamechoka. Macho yetu yamechoka. Pumzikeni Wabunge na Mawaziri.Baraza halitabadilishwa tena. Wezi chungeni sana.Mtashughulikiwa kimyakimya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya serikali ya Jakaya Mrisho Kikwete! Ndani ya serikali ya rais Kikwete yumo waziri wa 'TAMISEMI' bi Hawa Ghasia! Nilikuwa simfahamu vizuri huyu waziri...
23 Reactions
262 Replies
36K Views
Naibu Katibu Mkuu Wa Umoja Wa vijana Wa chama cha Mapinduzi Zanzibar Bwana Shaka yupo mkoani Mtwara kwa ziara ya wiki mmoja akitumia mbinu mbali mbali ambazo zimefanikiwa Zanzibar na kukitikisa...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wednesday, January 28, 2015 Wasichana waliokamatwa Rehema Ndunguru (32) mkazi wa Sinza akiwa na mtuhumiwa mwenzake Moyo Ramadhani Waziri Sitta, akiondoka Uwanja wa ndege wa Julius...
0 Reactions
67 Replies
13K Views
TAARIFA RASMI KWA VYOMBO VYOMBO VYA HABARI CUF INALAANI FITINA ZA KUIGAWA UKAWA UNAOFANYWA NA BAADHI YA WAJUMBE WA UKAWA • DAVID KAFULILA NI MWEREVU HAKUPASWA KUTOA KAULI KAMA HIYO...
13 Reactions
216 Replies
22K Views
Mbunge wa Mtera amemchana spika Makinda na kumwambia kuwa kiti chake kinapwaya. Lusinde ameshangazwa na kile kilichotokea bungeni pale mh Tundu Lissu alipogoma kutumia dakika tatu alizopewa na...
2 Reactions
85 Replies
11K Views
TUFUATILIE KIKAO HIKI CHA BUNGE Ni jinsi gani rahisi tutaonyesha uzalendo wetu? Ndugu watanzania wenzangu, Jana Jumanne Januari 27, 2015 mkutano wa Bunge umeanza mjini Dodoma. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wadau naomba kupata kirefu cha PT? Maana Leo ni memsikia mbunge machachari na mwanasheria mkuu wa serikali ijayo Tundu Lissu akitoa tafsiri kuwa Hata magari Yao Hawa watu wamebadili namba...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Jana ilikuwa uzinduzi wa ujenzi wa Barabara jimboni UBUNGO na KAWE uliotawaliwa na shangwe na nderemo kwa wakazi waliopakana na barabaza za Mbezi Mwisho-Goba-Tangi Bovu, Barabara ya External...
5 Reactions
69 Replies
13K Views
Wanasiasa wanaongoza kudhalilisha chuo kinachostahili moral value. academic value. na thamani zoote zinazojulikana, na kufaa kukirenki chuo hicho na vyuo vikubwa duniani na hasa ukianzia kuvipanga...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
KESHO TAREHE 30/01/2015 KUTAKUWA MKUTANO SHELUI- IRAMBA NA UTAHUDHURIWA NA MH DAVID KAFULILA PAMOJA JESKA KISHOA saa tisa mnakaribishwa wananchi wote kuhudhuria mkutano huo taratibu zate za...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Inashangaza sana CCM inaendelea kuzunguka Nchi nzima bila ya kuhitaji ruhusa yeyote toka Polisi alafu vyama vingine vinawekewa mikingamo vipate ruhusa hata ifikie sehemu wanaponyimwa kufanya vikao...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Najua bado mna magadhabu sana na Jeshi letu la Polisi lakini ngoja niwaambie kitu kimoja na ni UKWELI ambao nauita Mchungu! Hata kama ikitokea kesho Upinzani au UKAWA wakashinda uchaguzi na...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mbunge wa Siha na Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa na serikali za mitaa, Aggrey Mwanri amekuwa na tabia mbaya sana kwa wananchi wake, hasa kwa wananchi wanaomzunguka kijijini...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Budget ya Zanzibar haizidi $500M kwa mwaka na hii ina maaana Zanzibar wakifanya utalii vizuri watapata pesa ya kuwatosha na kujitegemea je wafanye nini 1. Ulinzi wa uhakika kwa wageni 2. Ruhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viongozi wa juu wa CHADEMA walisema kuwa wana ushahidi kuhusu waliohusika na mlipuko wa bomu katika mkutano wa kuhitimisha kampeni za chama hicho. Ushahidi wao umeishia wapi au ilikuwa ni...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Wadau, Bila shaka mnampata vizuri huyu mpambanaji JAPHET SIRONGA ambaye aligombea udiwani katika uchaguzi mdogo juni 2013 kata ya Makuyuni ila kutokana na dhulma na ubabe aliofanyiwa hakuweza...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimeisikia lipoti ya PAC na kunitabaanisha kuwa kila sehemu, kila sekta na kila tulipowaamini watz. kutufanyia kazi kila sehemu ni wizi tu. Na nikaona kuwa kama wizi huu ungezibitiwa mishahara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…