Kwesho tarehe 30/01/2015 mh david kafulila na jeska kishoa ndani ya iramba- shelui-

EMMA1

Member
Jan 4, 2015
39
11
KESHO TAREHE 30/01/2015 KUTAKUWA MKUTANO SHELUI- IRAMBA NA UTAHUDHURIWA NA MH DAVID KAFULILA PAMOJA JESKA KISHOA saa tisa mnakaribishwa wananchi wote kuhudhuria mkutano huo taratibu zate za maandalizi yamekamilika pia Tarehe 31/01/2015 atakuwa Kiomboi - SHULE YA MSINGI KIOMBOI BOMAN
 

Attachments

  • JESCA4.jpg
    JESCA4.jpg
    27.7 KB · Views: 429
  • JECK3.jpg
    JECK3.jpg
    18.2 KB · Views: 402
  • VC.jpg
    VC.jpg
    15.3 KB · Views: 1,259
go go go Jesca ! fanya kweri, tuondelee huyo mbulula anayejiita eti Nyerere mara Sokoine akisahau kuwa ni gaidi
 
Ukawa iramba watafanya mkutano mkubwa wa hadhara kesho tar 30,katika mji wa shelui,na keshokutwa viwanja vya shule ya bomani mjini kiomboi,vitawaka moto kwa hoja nzito za kitaifa. Mh david Kafulila na Jeska Kishoa watahutubia.Watu wa iramba msikose bahati hii ya mtende.
 
Wote makamanda mlio karibu fikeni kwa wingi ili kuwapa nguvu viongozi wetu. Mabadiliko ya kweli yataletwa na sisi wana nchi.
 
Back
Top Bottom