Zanzibar inaweza kujiendesha yenyewe kwa utalii pekee!

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,721
9,025
Budget ya Zanzibar haizidi $500M kwa mwaka na hii ina maaana Zanzibar wakifanya utalii vizuri watapata pesa ya kuwatosha na kujitegemea je wafanye nini

1. Ulinzi wa uhakika kwa wageni
2. Ruhusu Kampuni za tourism za Bara kufanya kazi freely zitaleta watalii na watalii ni kodi
3. Utamaduni huwezi kukataza wageni kuvaa nguo fupi wakati wamekuja kwasababu ya beach nzuri! pamoja na utamaduni ni lazima Zanzibar kwa wageni watafute utaratibu wa kuruhusu hili badala ya wageni kumwagiwa tindikali

Wakifanya hivi Zanzibar kwa uzuri wake watapata zaidi ya $500M ya kuendesha serikali badala ya kusubiri mafuta ambayo ni ya kubahatisha.
 
Back
Top Bottom