Lusinde: Kiti cha spika kinapwaya

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Mbunge wa Mtera amemchana spika Makinda na kumwambia kuwa kiti chake kinapwaya.

Lusinde ameshangazwa na kile kilichotokea bungeni pale mh Tundu Lissu alipogoma kutumia dakika tatu alizopewa na spika na badala yake akasema atatumia dakika kumi na makinda aliridhia.
 
Lusinde kaongea vizuri sana. Leo wabunge wa UKAWA wameipata fresh

Lusinde amesema makinda anapwaya kwa kuwa sasa hivi halindi maslahi ya ccm, anafuata pressure ya UKAWA, na kwa kufanya hivo CCM inaumizwa kwa kuonekana hamna wanalolifanya.
 
Mbunge wa mtera amemchana mh spika Makinda na kumwambia kuwa kiti chake kinapwaya.
Lusinde ameshangazwa na kile kilichotokea bungeni pale mh Tundu Lisu alipogoma kutumia dakika tatu alizopewa na spika na badala yake akasema atatumia dakika kumi na makinda aliridhia.
Yeye asubirie kuenguliwa na Samuel malecela
 
ukija huku mvumi,sis wanamtela kiukwel hatuna mbunge,mbunge anashinda kwenye vilabu vya pombe badala ya ofisin kwake.najua wanaCCM mpo huwa tunawaomba mmwambie mbunge wetu lusinde upunguze kunywa pombe za kienyej na kushinda vilabuni ili akae ofisin kwake atekeleze majukum ya wanamtera
 
Back
Top Bottom