Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 943
- 4,458
Wazaliwa wa Zanzibar wanapenda sana kujiita wazanzibari ila Wazaliwa wa Tanganyika wanakatazwa na wazazinzibar kutukuza Utanganyika.
Marais wote wamekuwa wakijiita watanzania isipokuwa awamu hii ndipo hoja ya kimantiki ilipojitokeza kwa kujitambulisha kwa Uzanzibari
Hali hiyo imepelekea pia wanasiasa wa Tanganyika nao kuanza kujitambulisha kwa utanganyika wao na kuanza pia kuzionea wivu mali za Tanganyika kama ambavyo rasilimali za Zanzibar zinalindwa kwa nguvu kubwa.
Je, si wakati muafaka sasa kutungwa kwa sheria inayokata viongozi wakubwa kujitambulisha kwa maeneo wanayotoka?
Je, si sahihi sasa viongozi wa ngazi ya muungano kukemewa kujinasibisha na upande wa kuzaliwa? Nani atakuja kufuta kauli kwamba MIMI NI MZANZIBAR?