Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mheshimiwa Rais, Amani iwe nawe daima. Mheshimiwa Rais, Awali ya yote tunakupa pole kwa kazi zako za kila siku za kuhudumia Watanzania, huku tukiamini Mwenyezi Mungu anaendelea kukujalia afya...
15 Reactions
100 Replies
11K Views
Ni juzi Waziri alitembelea na akatoa maamuzi mbalimbali cha kushangaza hadi sasa hakuna maji. Watendaji wenu wanatuletea mambo ya mgawo wa maji siku moja kwa wiki Alhamisi cha ajqbu hiyo Alhamisi...
0 Reactions
3 Replies
545 Views
Wasalaam, Nimefatilia ziara ya Rais huko Katavi na Musoma kilio kikubwa cha wananchi ni maji safi na Salama. Kama taifa tumeongozwa na CCM kwa miaka 60+ na bado na hakuna uhakika wa kutatua...
4 Reactions
4 Replies
486 Views
Nina siku kadhaa nipo Geita lakini hii trend ya kukatika umeme isiyo na ratiba maalumu inatia shaka utendaji kazi wa watumishi walioko huko ofisini Wenyeji mnaonaje?
0 Reactions
0 Replies
393 Views
Tupazie sauti Sisi wakazi wa Kigamboni hali ya karudi majumbani kwetu ni mbaya Sana Sasa tunalazimika kuvuka Kwa mitumbwi ya Kasia bila life jacket na Hali ya hewa ya mvua Boti za Zanzibar na...
10 Reactions
79 Replies
4K Views
Hapa ni Vianzi Vikindu barabara ni shida na mbunge anajua, tusaidieni wadau kwani ni aibu, Wadau mtusaidie.
2 Reactions
7 Replies
847 Views
Wizara ya OR_TAMISEMI na Utumishi iangalieni halmashauri ya Singida kwa jicho la tatu, upandaji wa madaraja unaweza usiwezekane kwa uzembe wa maofisa wa ofisi hizo. Naomba wakubwa lifuatilieni...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Hii ni hakika. Tunetoka kwenye mvua kubwa, mifereji ya Jiji la Dar na vijito bado vinatirisha maji. Wananchi wachota hayo maji kwa matumizi Yao ya kila siku. Bila haya maji, Jiji la Dar liko...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
TAMISEMI inacheza na maisha ya watumishi wa umma , kwamba hawato pata stahiki zao za kupanda madaraja kwa kisingizio cha PEPMIS mfumo ambao unahitaji mda kuuelewa na unahitaji vitendea kazi ni...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu. Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami. Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena...
11 Reactions
73 Replies
4K Views
Uwanja wa CCM KIRUMBA unabeba Watu zaidi ya 35,000 lakini cha kushangaza kuna matundu manne 4 tu ya vyoo ambapo vyooni hamna maji. Sehemu ya kukojoa kwa Wanaume mifereji imejaa mikojo na harufu...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuna shida ya ubovu wa barabara ya kutoka Mombo kwenda Lushoto ina mashimo mashimo na pili hakuna ufuatiliaji wa nauli za bei mfano bei ya kilometa moja ya lami ni shilingi 30-40 lakini wao...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Anonymous
Kumekuwa na sintofahamu kwa watumishi wa Halmashauri hii kulazimishwa kuhudhuria sherehe za Muungano zinazotajiwa kufanyika maeneo ya Kamsamba kuanzia tarehe 25/4/2024 na kilele chake ni tarehe...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Habari wadau, Kuna wizi mkubwa sana unaendelea TARURA, na uenda mimi sio mhanga pekee, lakini ni vema nifichue hiki kitu kwa faida yangu na wengineo. Mimi ninafanya shuguli zangu nchini...
5 Reactions
15 Replies
4K Views
Anonymous
Habari wana Jamvi, Leo nimekuja kuwasilisha kero yangu moja kubwa sana kuhusu hawa watu wanaotupangishia Nyumba au Frame za biashara. Naelewa ni zao na wana haki ila kitendo cha Mmiliki kuamua...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakati mwingine watu wanajiuliza hili jimbo lilianzishwa kimakosa? Barabara zote muhimu ni chakavu na sio za lami. Nilipita barabara ya kibanda cha mkaa kwenda mjimpya nikajiuliza hili jimbo lina...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Wadau siku hizi kumekuwa na Mtindo wa Watu kufanya JOGGING Asubuhi maeneo mbalimbali ya JIJI.Kwanza nawapongeza kwani Wanaiweka imara Miili yao. Pamoja na Kuwapongeza NAWALAUMU sana kwani...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Dhahiri shahiri bila kupepesa macho nanyoosha malalamiko yangu Ofisi ya halmashauri Njombe mjini Kuwa Cheo ni Dhamana sio sifa na lawama hizi ziende moja kwa moja kwenye kitengo cha NIDA, Mjue...
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Jerry Slaa hebu weka muda kidogo kutoka kukataa hongo ya mil. 300 uje uangalie njia za Ukonga hasa ya Kitunda kuelekea Mwanagati. Hali ni mbaya mno huku. Hatujakuona toka ulipokuja kupiga kampeni.
1 Reactions
10 Replies
898 Views
Hivi ndivyo ilivyo maeneo ya mitaa ya Kibaha, Maili Moja Mkoani Pwani, mvua zikinyesha tu basi miundombinu hasa barabara hazipitiki kirahisi kama hivi inavyoonekana. Mbunge wa Jimbo hilo la...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Back
Top Bottom