KERO Ubovu wa barabara kutoka Mombo kuenda Lushoto

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Fundi wa fundi

Senior Member
Apr 18, 2017
111
51
Kuna shida ya ubovu wa barabara ya kutoka Mombo kwenda Lushoto ina mashimo mashimo na pili hakuna ufuatiliaji wa nauli za bei mfano bei ya kilometa moja ya lami ni shilingi 30-40 lakini wao wanachaji 200 kwa kilometa moja ambao mfano mombo bangala ni km5 bei 1000 Mombo Soni ni km 10-15 wanachaji kati ya 2500 hadi 3000 maana bei wanapanga wao na mbunge yupo Latra wapo jambo ambalo ni kero kubwa sana kwa wananchi
 
Poleni kiongozi ni Tanganyika nzima wa kututetea kizimkazi mwenyewe hayupo Yuko majuu anapiga misele tu.

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Mnaye mbunge wenu wa MAISHA Bw. MAROPE mpelekee hii kero.
Na sijui utampata wapi maana siku hizi anazurura tu duniani na Kizimkazi!
 
Kuna shida ya ubovu wa barabara ya kutoka Mombo kwenda Lushoto ina mashimo mashimo na pili hakuna ufuatiliaji wa nauli za bei mfano bei ya kilometa moja ya lami ni shilingi 30-40 lakini wao wanachaji 200 kwa kilometa moja ambao mfano mombo bangala ni km5 bei 1000 Mombo Soni ni km 10-15 wanachaji kati ya 2500 hadi 3000 maana bei wanapanga wao na mbunge yupo Latra wapo jambo ambalo ni kero kubwa sana kwa wananchi
Kwani MTAKA URAIS wenu anasemaje juu ya barabara
 
Back
Top Bottom