Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili...
Katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), Mkurugenzi wa PPPC Bwan David Kafulila alieleza kuwa tangu kuanzishwa kwa mfumo wa ubia, serikali imefanikisha miradi yenye thamani ya...
KAFULILA-UJANJA WA CHINA UMETOKA MAREKANI
Akihutubia katika mhadhara wa umma maalum uliofanyika Chuo Kikuu cha SUA, Bwana David Kafulila, Mkurugenzi Mkuu wa PPPC Tanzania, alisema kuwa historia...
Nadhani zimeshapita siku mbili sasa tokea Emmanuel Nchimbi [mimi simuiti makamu wa Rais kwa sababu hakuchaguliwa kushika hiyo nafasi] azungumzie mambo ya katiba mpya, uanaharakati, na mengineyo...
TULIWAONYA sana na kuwasihi sana wazazi kuwa watoto wenu hawa kaeni nao chini na muwaonye na kuwafunza kuwa waache kuichezea serikali na dola lakini mliona tunawapigia kelele
TULIWASIHI sana...
Salaam Wakuu,
Kundi linalomuunga mkono Polepole sasa limeshika hatamu. Limeshika usukani na lina nguvu.
Kwa ufupi ni kwamba Polepole katangulizwa tu na nyuma yake wapo watu kutoka vyombo...
Ushauri: Rasimu ya katiba iandikwe na wataalamu ambao hawana chama. Hata kama wanatoka nje.
Maoni yakisha kusanywa wataalamu pekee ndiyo waandike sio makada wala Bunge fake la katiba. Bunge la...
Mungu mkubwa,mvua imenyesha moshi Manispaa, dunia imejionea panakovuja! Huyu Mkurugenzi, anakingiwa kifua na RC,ikikupendeza, peleka taarifa muhimu panakohusika,ili RC na DED waondolewe,ni tatizo...
Msemaji wa Jeshi la Polisi amesema jeshi hilo limekamata magaidi 130 na tayari 36 wameshafikishwa mahakamani.
Msiishie kusema tu walipanga kuchoma transformer nchi iwe gizani, tuambieni nchi...
Wako pamoja wameapisha wateule. Kwa hotuba ya Nchimbi inavyotafsiliwa na wengi kuwa hawaivi, si kweli. Hapa kuna mchezo mchafu wanacheza Samia na Nchimbi na CCM in general. Hii ni jana tarehe 27...
Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam...
Maoni ya Dkt. Dennis Muchunguzi, Mkurugenzi Mkuu Taasisi za AFREDA na Rais wa Taasisi ya ACERICAANDO na Mtaalam wa maendeleo ya Kijamii na kiuchumi, mtaalam wa Lugha, maridhiano, upatanishi na...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, ameihoji Serikali ya Tanzania akitaka itaje wazi ni nani anayekwamisha mchakato wa Katiba Mpya, kutokana na kauli...
Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.
Zama hizi imekuwaje kwani?
Wanabodi,
Makala yangu gazeti la Mwananchi la leo, hapa ninazungumzia uhitaji wa kuendelea adhabu ya kifo cha kikatili kwa kunyonga mpaka kufa?. Hoja hii ni kufuatia kitendo cha marais wa 4 wa...
Wanabodi,
Kama kawa,
Ukiangalia nguvu iliyotumika jana kuzuia maandamano ya Chadema, nguvu hiyo ingetumika kuyalinda maandamano hayo badala ya kuyazuia!
Mada ya leo ni kuhusu haki, hakuna haki...
Walipigwa wakateswa wakaandika uongo kujinusuru. Angali kesi hii ilivyoamuliwa . Ni kesi ya kutupa Bomu kule Arusha kwenye uzinduzi wa parokia ya katoliki mwaka 2013
Siasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa...
NAKWAMBIA hivi Dr Emanuel Nchimbi hasingekuwa TISS kwa KAULI yake dhidi ya katiba mpya kufaitiwa na kuwataka watu waitafte ili Hali wanao itafuta wanapewa kesi za ugaidi angekuwa katumbuliwa...