Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kipindi nagawa vipeperushi vya amani kwenye mitaa mbalimbali ya mji wa Iringa, jeshi la polisi mkoani humo limeanza kunibugudhi kisa ujumbe uliopo ndani ya vipeperushi. Ujumbe huo ni mfupi tu...
7 Reactions
12 Replies
197 Views
Kwa hili niwape kongole wazee wa geti jeusi wale wazee wa kitengo, huo ushauri mlioupa imekaa vizuri sana, maana Dunia haituelewi hadi muda huu, hata wafanyabiashara wa sekta ya utalii hawaelewi...
5 Reactions
11 Replies
326 Views
Watu wa X, Chadema na watanzania wengine wanamlaumu sana Thobias Mwesiga Kwa matendo yake ya kihalifu. Hii ndo biography ya Thobias Mwesiga. Huyu bwana alizaliwa katika kitongoji Cha Nyarubanja...
16 Reactions
33 Replies
1K Views
  • Redirect
Kuna ukweli au mambo ya mitandao. Eti bunge la Marekani lasema mtu apelekwe ICC
4 Reactions
Replies
Views
  • Closed
Aisee hawa watu wapo mbele sana kwa intelejensia ya uhakika. Hawanaga kuficha ficha wala uchawa wao ni straight. ==== Ufuatiliaji wa JamiiCheck: Video inapotosha uhalisia kwani imetumiwa...
22 Reactions
52 Replies
2K Views
Comments ziwe fupi fupi ingekuwa Samia Wasingetokea pia? Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana
18 Reactions
46 Replies
2K Views
Nikisubiri 2040 ndio aishike nchi,sina uhakika na uhai wangu kutokana na umri wangu. Japo Mimi ni Dola,lakini siwaani hawa wenzangu kama watampitisha hiyo 2040. Hivyo muda pekee ni hii 2030 kwani...
6 Reactions
53 Replies
572 Views
Pascal hayaoni haya mambo yote yanayotokea? Hawa watu wanasema wanataka kuandamana ni kweli wanataka kuikomboa nchi au wanataka kurudisha nyuma maendeleo na kutupeleka kwenye Stone Age ?
5 Reactions
15 Replies
482 Views
Moyo wangu umejawa na furaha kama Ile ya Abel (Habil) baada ya kutoa sadaka ya kukubalika mbele za Mungu. Ingawa sadaka ya Abel ilikuwa na wivu dhidi ya ndugu yake Kaini.
13 Reactions
21 Replies
219 Views
C&P from Belvin Kagoma facebook MAKALA: Operesheni ya Kupambana na Kelele Kariakoo – Je, Dar itarejesha Utulivu wa Soko Kubwa Zaidi Nchini? Utangulizi Jiji la Dar es Salaam limeingia rasmi...
1 Reactions
6 Replies
148 Views
Kwenye Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania zipo wizara za mambo ya muungano na zipo ambazo si za kimuungano. Kwa mujibu wa makubaliano ya Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 1964, kutakuwa na...
6 Reactions
38 Replies
792 Views
Mabadiliko ya Katiba ni maboresho ya kilichopo siku zote lengo hua ni hilo na ni jambo sio la sisi Wananchi pekee pia linahusu ambao hatma ya Nchi yetu ipo mikononi mwao na ni jambo linalogharimu...
2 Reactions
13 Replies
115 Views
ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI. Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa...
5 Reactions
68 Replies
2K Views
Siku chache zilizopita huko nchini India kulikuwepo na maandamano makubwa ya wanafunzi kupinga uvujaji wa mitihani ya wanafunzi wanaosomea udaktari. Yalikuwa ni maandamano makubwa sana...
8 Reactions
10 Replies
272 Views
Kila alichozungumza kimejaa uongo wa kiwango cha chini mno! Ikiwa No Reforms No Election ya Chadema imeitwa Uhaini na kusababisha Tundu Lissu kukamatwa hicho anachokisema Nchimbi ni kipi? Kama...
58 Reactions
112 Replies
2K Views
Habari za wakati huu. Nipo hapa baada ya kupata wakati mgumu kuelewa watanzania ni watu wa namna gani ndio maana nimekuja na mada hii. Kuna kitu huwa tunaelezwa ambacho ni uzalendo.Kwa tafsiri...
3 Reactions
40 Replies
359 Views
Hamjambo! Hii nchi ipewe tuzo kwa kurukia mambo na matukio. Sijui nilie. Nikajirushe ghorofani au pale ferry. Yaani Madowo alivyokuwa anaripoti. Daah! Acha tuu. Wadau tunafanyaje hapa? Wale wa...
5 Reactions
28 Replies
435 Views
Niseme ukweli mimi kama mr Pipa nina miezi zaid ya 7 sijawahi kumsikiliza raisi wangu au kuangalia hutuba zake na sijui saizi raisi anamwonekano upi yote kutokana na kuni kera hasa kwenye hutuba...
15 Reactions
48 Replies
1K Views
Kauli ya Mkamu wa rais ni TATA inatafsiri zaidi ya moja. LAKINI CHA MUHIMU NA MSINGI ZAIDI NI KUIPATA KATIBA MPYA NA KUWA NA UTASHI WA KUIFUATA KATIBA KWANI NCHI INAWATU WENGI 70M NDANI HUMO...
0 Reactions
9 Replies
119 Views
Nawaza tu. 2030 kamati kuu wamfanyie Figisu Imma, asiorodheshwe kwenye 5 bora ya watia nia nafasi ya Uraisi. Alaf Imma akaamua kwenda Chadema. Mind you Lissu pia yuko Huru. Huo Mtanange wake...
1 Reactions
7 Replies
131 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…