Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Zawadi kubwa ya kuwapa ilikua kuwapa Miili ya Wapendwa wao wakaizike au Kurudisha Uhai wa Wapendwa wao. Nyumba , gari au Mali havitafuta yaliyotoke Oct 29
3 Reactions
17 Replies
386 Views
Habari za uhakika kuna waliokuwa Chadema wakaenda Chauma sasa wanaomba kwenda CCM kupumzika huko maana Chauma hakuna kilichobaki kwao. Hali si nzuri kifedha maana zile pesa ambazo walikuwa...
0 Reactions
2 Replies
263 Views
Jaji George Joseph Kazi ameteuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ataapishwa tarehe 28 Agosti...
3 Reactions
37 Replies
7K Views
Chama kimekuwa na mambo ya kishenzishenzi kimeshapoteza heshima kuanzia vijijini hadi mijini. Chama kimekosa hoja za kisiasa na kuanza kuunda makundi ya wanamgambo yanayoua watu hovyo. Oktoba 29...
3 Reactions
4 Replies
221 Views
Hizi lugha za CCM kwamba watu wasizungumzie yaliyotokea 29Oktoba lengo lake ni nini hasa? Mbona CCM wapo bize kuonesha kuwa yaliyotokea 29Oktoba ni mambo madogo sana na yanayotakiwa kusahauliwa...
15 Reactions
44 Replies
674 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Iddi Kimanta, amewataka vijana nchini kuwa na uchungu wa kukilinda na kukitetea chama hicho, huku akionya dhidi ya tabia ya kubeza au...
0 Reactions
9 Replies
435 Views
Samia to the World!!!!! Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026)...
6 Reactions
133 Replies
3K Views
Chama cha Mapinduzi kinaadhimisha miaka 49 tangu kilipoanzishwa Februari 5, 1977 baada ya kuunganishwa vyama vya TANU iliyokuwa Tanganyika na ASP iliyokuwa Zanzibar. Kwa hiyo CCM ni zilezile TANU...
2 Reactions
3 Replies
237 Views
Humu jukwaa kuna tuhuma ambazo Samia Suluhu anatupiwa ya kwamba ni mdini na amejaza waislamu katika wateule wake sasa najiuliza udini wa Samia uko wapi? Au udini wa Samia anaufanyia wapi? Mbona...
11 Reactions
234 Replies
4K Views
Mbunge viti Maalum wa Kagera Devotha Daniel Mburarugaba kwenye kipindi cha maswali na majibu bungeni leo Februari 5, 2026 amehoji Serikali imeweka mikakati gani kuhahakikisha maafisa wanapata...
0 Reactions
1 Replies
175 Views
Nahakama feki: alitoa mabango ya ccm kapewa kesi ya wizi wa ng'ombe kwa silaha
1 Reactions
8 Replies
308 Views
Rais Samia Suluhu Hassan, jana usiku alishiriki katika uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS) uliofanyika jijini Dubai, hatua inayolenga kuimarisha nafasi ya Afrika katika kuvutia...
2 Reactions
5 Replies
231 Views
Suala zima la kumwaga damu za watu ili muwe madarakani linatakiwa kuwauma kuliko mnavyo nadhania. Njia itumiwayo na kanisa katoliki la kutubu dhambi pale kwenye kichumba akaacho padri na muumini...
0 Reactions
2 Replies
210 Views
Wahusika wamekuwa wakitengeneza hadithi mbalimbali kuuhadaa umma, lakini ukweli ni kwamba watawala wana hofu ya nchi kuwekewa vikwazo vya kuuza dhahabu nje kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za...
14 Reactions
15 Replies
543 Views
Wanabodi, Moja ya kanuni kuu za mwandishi wa habari is to tell nothing but the truth!, Tangu escrow ilipoanza, kwanza Suala la ESCROW Tupunguze Too Much Sensationalism na ku Dramatize, BOT...
74 Reactions
230 Replies
29K Views
Pale Mpingo House walitunza meno ya tembo na pembe za faru. Ghafla wakatamani pesa, wakatangaza kuuza. Bahati nzuri kwa TZ, Kenya walivuruga mpango huo, wakashindwa. Sasa wamekuja na jipya...
2 Reactions
3 Replies
217 Views
Mbunge wa Jimbo la Makete, akichangia katika Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha 6, ameeleza kuwepo kwa mifuko ya vijana katika wizara mbalimbali licha ya kuwepo kwa Wizara rasmi ya Vijana...
1 Reactions
22 Replies
439 Views
  • Redirect
Wakifikia Zanzibar hakuna tabu ila Bara watatunyapaa mithili ya kinyesi Hawa wajomba wa mama. Ziara ya mama baada ya ushindi wa kishindo aliitwa na wajomba? Nina uhakika aliko ana amani kuliko...
0 Reactions
– Replies
– Views
Samia siyo Rais wa Tanzania kwa mujibu wa katiba. Uchaguzi haukuwepo kwahiyo hajachaguliwa tena. Hana cha kujiuzulu. Labda tu asaidiane na wengine kutuletea serikali ya mpito, aende apumzike...
11 Reactions
23 Replies
777 Views
MBUNGE WA VITI MAALUM MARA AULIZA SWALI KUHUSU UWEKEZAJI WA VIWANDA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mheshimiwa Ghati Zephania Chomete, ameuliza swali bungeni akiishukuru Serikali kwa majibu...
0 Reactions
0 Replies
240 Views
Back
Top Bottom