Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sikuhizi polisi wananyanyasa upinzani wa serikali sijui upandishwe cheo sasa cheo hicho unachotaka cha kazi gani kunyanyasa watu zaidi au ulinzi. Hivi sisi zimetimia kweli kichwani yani...
1 Reactions
7 Replies
171 Views
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg Sadifa ametengua uteuzi wa wajumbe wa baraza ambao alikuwa amewateua Ndg Paul Makonda pamoja na Msaraka. Makonda katolewa kikaoni sasa hivi kwa kuwa uteuzi...
1 Reactions
167 Replies
22K Views
Mama Bado ana nafasi ya kutunza kidogo kilichobaki Kwa kujiuzulu au kujitenga na wauaji na kuwakabidhi Kwa mahakama Hili taifa litoke kwenye huu mkwamo ziko njia mbili tu Mama Samia amue...
2 Reactions
18 Replies
371 Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu, amekanusha madai ya vyombo vya habari yanayodai kuwa baadhi ya wabunge wameitwa kuhojiwa na TAKUKURU kutokana na michango yao wakati...
2 Reactions
17 Replies
523 Views
Watanganyika wameyafumba macho yao kwa makusudi kabisa wasione mema na maendeleo anayoyafanya Rais Samia. Bima ya Afya imekuja kujibu afya ya Watanganyika lakini kwakuwa MANGE Kimambi...
3 Reactions
51 Replies
750 Views
  • Redirect
Unashinda kwa asilimia 90% alafu unaenda kuapishwa mbele ya jeshi badala ya wananchi ushihidi mwengine huu hapa kuwa samia ni haramu
1 Reactions
– Replies
– Views
Mbunge wa zamani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Munde Tambwe amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa kipindi sasa. Katika uhai wake, marehemu Munde alikuwa...
7 Reactions
27 Replies
1K Views
  • Featured
Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za...
5 Reactions
68 Replies
4K Views
MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU MUNDE TAMBWE, MKOANI TABORA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amemwakilisha Rais...
2 Reactions
12 Replies
451 Views
Kwasababu, ni vizuri kuyaeleza haya mambo mapema ili kuepusha suprise amabazo zinaweza kuleta madhara kwa baadhi ya wanasiasa hasa wa upinzani ambao daima huangukia pua kwa kutegemea public...
1 Reactions
20 Replies
445 Views
Arusha. Mtandao wa Watetezi wa Haki za Bbinaadamu Tanzania (THRDC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wanahabari ya Kusaidia Jamii za Asili (MAIPAC), imeanza kuwanoa wanahabari Kanda ya Kaskazini na...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
I was trying to check on his credentials...is he an investigative journalist or a forensic expert... my findings ...I don see him near to what he has tried to work on covering the serious report...
4 Reactions
102 Replies
3K Views
Viongozi wa Kisiasa kama vile Wabunge, Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa na Mawaziri wameshauriwa kujiepusha kutoa maelekezo/ maagizo au kufanya vitendo vilivyopo kinyume na sheria kwani kufanya...
0 Reactions
1 Replies
194 Views
Mbunge wa Mchinga Mkoani Lindi Salma Kikwete, kwenye kipindi cha maswali na majibu amehoji Serikali ina mpango gani na Jimbo lake halina Stendi hata moja wakati Magari makubwa yanapita kutoka...
1 Reactions
38 Replies
959 Views
Mbunge wa Katavi, Thomas Kampala, akichangia mjadala bungeni Februari 4, 2026, amesema utashi mkubwa wa Rais Samia umewezesha kukamilika kwa miradi mikubwa, na si rahisi kumpata rais wa aina...
1 Reactions
5 Replies
277 Views
Manenos Selanyika alipata mazishi ya mfano tu. Familia yake haikuwahi kuupata mwili wake baada ya machafuko makubwa ya uchaguzi wa Tanzania yaliyotokea miezi mitatu iliyopita. Mwandishi huyo wa...
1 Reactions
1 Replies
221 Views
Au kwasasa wameishiwa ubunifu wa porojo, uongo na uzushi mpya dhidi ya taifa lao kwa manufaa na hisani ya mabwana zao waliokua wakiwatumikisha? Na ile ahadi ya kutafutiwa kazi ubiligiji...
3 Reactions
66 Replies
703 Views
CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba...
2 Reactions
15 Replies
537 Views
Katika uchumi wa dunia akiba ya dhahabu ya nchi (National Gold Reserves) inatazamwa kama ngao ya mwisho ya uhuru wa kiuchumi. Taarifa kuwa nchi yangu Tanzania inapanga kuuza sehemu ya hazina yake...
49 Reactions
101 Replies
3K Views
CLOUDS FM na clouds waliovuma sana enzi za Makonda akiwa Mkuu wa Mkoa, aliamua kuzivamia na Bunduki na Polisi Ili mradi kipindi cha Shilawadu kimchafue yule bwana jasusi wa Mbinguni. Ile game...
5 Reactions
10 Replies
445 Views
Back
Top Bottom