Kuna wana CHAUMMA ambao wanaomba kukubaliwa CCM

Kuna wana CHAUMMA ambao wanaomba kukubaliwa CCM

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,697
Reaction score
32,275
Habari za uhakika kuna waliokuwa Chadema wakaenda Chauma sasa wanaomba kwenda CCM kupumzika huko maana Chauma hakuna kilichobaki kwao.

Hali si nzuri kifedha maana zile pesa ambazo walikuwa wanapewa that time zilishasitishwa na chama kimekuwa hakina tena mvuto na wao hawana namna ya kuishi tena.

Wapo viongozi watatu na kajamaa huwa nakaona kana mwanya hivi na mustachi. Mtoa habari wangu ananiambia kwa uhakika kuwa viongozi wa CCM kwa sasa hawaoni kama hiyo ni big deal kutokana na hao watu kupoteza mvuto na hali pia ya kisiasa iliyopo nchini.

Jambo hili linawapa shida sana sababu wengi pia wanataka wakienda CCM angalau wapate vyeo. Na CCM wanasema hawaoni kama jamaa wana impact yoyote kwa sasa sababu wamechuja sana. Hawana mvuto. Inaleta maneno toka kwa wana CCM kuwa wageni wanathaminiwa zaidi kwa vyeo kuliko akina Mwashambwa Lucas ambao kutwa kucha wanapuliza vuvuzela.
 
Porojo zingine bana ni useless sana aise dah! :pedroP:
 
Back
Top Bottom