Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ni Aibu sana kwa Chawa wote wa hapa JF na kwingineko, Teuzi zote zinatoka Msoga na nyie Mamluki hamna ushawishi wowote yaani. Soma Pia: Mabadiliko ya Wizara Mbili na UTEUZI, Februari 6, 2026...
6 Reactions
8 Replies
550 Views
Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika...
1 Reactions
2 Replies
341 Views
Hii nchi jamani, yaani hii tume useless ata aibu haina, Kwa kilichotokea MO29 unaanzaje kupoteza muda kufanya investigation Kwa kuwahoji kina Majaliwa Nape Nauye Chalamila Dr.Mpango Makalla...
4 Reactions
12 Replies
520 Views
"Rais alisema ataunda tume jambo jema kabisa na mimi nikaona kwa uzoefu wangu tuunde tume ya kijaji, ukienda Kwenye account ya X utaona kwamba nilipendekeza i iundwe tume ya kijaji. Sasa kama...
22 Reactions
140 Replies
3K Views
Asnte sana Maxence Melo ubarikiwe. Tunajitahidi kuandika sense na si vinginevyo. Watawala wangelijua hilo, ingeliwasaidia sana kujua direction nzuri ni ipi. Lakini wao wanasema direction ya...
5 Reactions
3 Replies
171 Views
Shilingi ya Tanzania imeanza kushuka thamani dhidi ya dola ya Marekani. Kwa data za BoT kwa kipindi cha Jan 26 hadi Feb 5, thamani ya Shilingi imeshuka kwa takriban 3%. Ikumbukwe kuwa bado...
15 Reactions
81 Replies
2K Views
Mpo salama wote. 1. Nataka niwahakikishie kipindi hiki kitakuwa kipindi kizuri Sana kwa ambao wataendelea kuwa machawa. 2. Watapata pesa nyingi Sana kutokana na kuwa ni kazi ngumu ya kujitoa...
11 Reactions
26 Replies
513 Views
Aliyekuwa RC wa Kagera ameondolewa; kuna issue gani alifanya huyu?
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Bakari Shingo, amejiondoa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi za uwakilishi wa Tanzania kwenye taasisi muhimu za kimataifa za mabunge baada ya kushindwa kukidhi...
11 Reactions
69 Replies
1K Views
Uamuzi wa Mahakama Kuu katika Kesi ya Saidi ISSA Mohamed & Wenzake vs Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA & Katibu Mkuu wa CHADEMA juu ya pingamizi ya mamlaka ya Mahakama kusikiliza kesi hiyo utatolewa...
4 Reactions
23 Replies
738 Views
February 6, 2026 Warning: This story contains graphic content. https://t.co/bwpN0QJUj7 Tafsiri isiyo rasmi. Ikimezwa na vita na idadi kubwa ya waliokufa, Afrika inaingia katika aina ya giza...
5 Reactions
11 Replies
379 Views
Maenye pichanya bungeni ikionesha alipokaa aniwekee hapa. Najaribu ku imagine alivyokaa huko kajampa nani na kigonga meza! Same like yule atakavyo kuwa amevaa uniform ya jela ya ICC
5 Reactions
13 Replies
480 Views
Hii ni kwa sababu Mamlaka ya Uteuzi haikuamini tena na ndio maana nafasi yako akapewa mtu mwingine , Kilichotokea ni kwamba huyo aliyepewa nafasi yako ameonekana kituko , duni na hatoshi na ndio...
13 Reactions
83 Replies
9K Views
Katika kile kinachoonekana kutunishiana misuli kati ya Mkiti wa CCM Mkoa na RC Tabora wiki iliyopita RC alifanya mkutano mkutano mkubwa ambapo aliwaita wenyeviti wote wa CCM wa wilaya zote za Mkoa...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
TAARIFA KWA UMMA. Juu ya kiongozi mwenzetu ambae ni Mlinzi wa Mhe. Lissu, Award Kalonga. Jana January 4, mwaka huu tulipokea taarifa kutoka Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuwa kiongozi wetu...
7 Reactions
14 Replies
466 Views
  • Redirect
Balozi Waziri Rajab Salum ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara. Balozi Salum anachukua nafasi ya Dkt. Hashil Twaib Abdallah ambaye atapangiwa majukumu mengine;
4 Reactions
– Replies
– Views
Ndugu zangu Watanzania, Siku zote Nawaambieni Ya Kuwa Usishindane na aliyebarikiwa Na Mungu ,usishindane na aliyeinuliwa na Mungu ,usishindane na aliyepewa kibali na Mungu. Aliyepewa kapewa tu...
3 Reactions
29 Replies
464 Views
Shirika la Haki za binadamu Duniani la Amnesty International imeikana barua iliyodaiwa kuwa yao iliyokwenda kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyokuwa ikilaani na kukemea kuhusu...
20 Reactions
51 Replies
2K Views
  • Redirect
Balozi Waziri Rajab Salum ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara. Balozi Salum anachukua nafasi ya Dkt. Hashil Twaib Abdallah ambaye atapangiwa majukumu mengine;
1 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Uteuzi na Mabadiliko ya Muundo Februari 06, 2026.
1 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom