Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Featured
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye ametahadharisha kuwa bila kusimamia utu, Chama cha Mapinduzi (CCM) inaweza kuondoka madarakani hivyo akaonya wanachama ndani ya chama hicho wasione aibu...
14 Reactions
56 Replies
3K Views
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiwasili viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu ambapo wanakutana kujadili mambo mbalimbali ya kiuchumi na...
2 Reactions
4 Replies
379 Views
Kesi ya jinai inayomkabili Katibu Mkuu Mstaafu wa BAVICHA Taifa, Yohana Kaunya Rugembe, pamoja na washtakiwa wengine 20, imeendelea leo Ijumaa, Februari 6, 2026, katika Mahakama kwa hatua ya...
4 Reactions
4 Replies
309 Views
Mzee wa Msoga hawezi kosekana kwenye Epstein files Ukaribu wake na Bus na Elite families unatilia mashaka makubwa Ukaribu wake na Tony blair pia Ilifika mahali hadi Bush akawa anakuja kwa...
3 Reactions
14 Replies
787 Views
Sio kwamba CCM ni chama kibaya, wala kwamba sera zake ni mbaya au kwamba watu wake ni wabaya au kwamba wanachama na viongozi wake hawana uwezo; hayo yote ni HAPANA. Ndani ya CCM kuna watu makini...
6 Reactions
12 Replies
265 Views
Dictators lugha wanayoielewa ni Vitendo, Actions! Bila kusikia risasi madikiteita wanakuwa na dharau isiyo kifani. Bila uprising, armed resistance madikiteita wanakuwa sugu!
4 Reactions
2 Replies
181 Views
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HAFLA YA KUSIMIKWA KWA UONGOZI MPYA WA BARAZA LA MAKANISA YA PENTEKOSTE TANZANIA ▪️ASISITIZA VIONGOZI WA DINI KUMUOMBEA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA TAIFA...
1 Reactions
15 Replies
459 Views
Tanroad mbona mnatana tuwafanyie kazi zenu au hadi raia wapange mawe barabarani kuzuia magari ndio mtaelewa ? Ajali maeneo hayo na kama hayo yenye kona zimezidi.....fanyeni utaratibu mupunguzie...
2 Reactions
6 Replies
227 Views
Mahakama Kuu ya Zanzibar, Masjala ya Tunguu, mbele ya Mheshimiwa Jaji Salma Hassan, leo imetoa Amri ya Muda ya Kusitisha Kitendo (Status Quo) katika Maombi Madogo ya Madai Na. 18 ya Mwaka 2026...
1 Reactions
3 Replies
229 Views
Katibu mkuu wa TEC, Fr. Dr. Charles Hugo Kitima, BSc, MSc, PhD na Askofu Mkuu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es Salaam Jude Thadeus Ruwa'ichi OFMCap wameufyata mkia baada ya walei wa Kanisa hilo...
8 Reactions
63 Replies
2K Views
Mara Samia Suluhu Hassan aende kuombewa na Boniphase Mwamposa ambaye baadae anasema eti anamuona Samia kwenye Urais mwaka 2031! Hatujakaa sawa Emmanuel Nchimbi yupo kwenye vikao vya wapentekoste...
7 Reactions
5 Replies
219 Views
Leo kwenye mitandao ya kijamii likiwemo jukwaa la jamii forum lililofungwa wako live wanamwonesha Mh Rais Samia na mwigulu lameck madilu mchemba wanafungua soko la karikaoo baada ya kuwa kwenye...
4 Reactions
9 Replies
282 Views
Meja jenerali Marco Elisha Gaguti jana ameondolewa kutoka nafasi alokuwa nayo ya ukuu wa utumishi jeshini na kuambiwa atakuwa balozi. Pia wakati wa teuzi mbalimbali zikifanywa jana hiyohiyo mkuu...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Kupitia tovuti zao, Ubalozi wa Marekani Hii ilitokana na ukosefu wa Fedha katika Balozi hizo baada ya Marekani kuchukua hatua kadhaa kukomesha matumizi ya Marekani nje ya nchi. Hatua hiyo imekuja...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Hakuna uwezekano wa serikali haramu kuwa halali katiba imeweka wazi serikali ni nini hakuna aliye juu yake wengine wote ni waasi. Kuna wapumbavu wanakesi za kujibu serikali iliyopo madarakani sio...
4 Reactions
4 Replies
152 Views
Mwenyekiti wa kamati ndogo ya ulinzi wa uhuru wa dini wa Bunge la Marekani, bwana Chris Smith, wakati akifungua kikao cha mwaka, ameeleza kuwa Tanzania imerudi nyuma kwenye ulinzi wa uhuru wa...
13 Reactions
27 Replies
766 Views
Inasemekana ni mkakati wa kuishawishi ACT ijiunge serikali ya umoja wa kitaifa Kama wabunge wa ccm ambao ni wote wanalalamika Huyu kachaguliwa na. Nani? UTAPELI
9 Reactions
30 Replies
777 Views
Takwimu za Jumuiya za Kimataifa zimeweka wazi hali ilivyo kwenye Nchi hizo, Ni dhahiri hakuna Amani ya kuwezesha michuano mikubwa kama hiyo kufanyika. Ukitaka kuelewa jambo hili Angalia vilabu...
23 Reactions
125 Replies
2K Views
#dafitips Ujumbe wangu mfupi kwa maadhimisho ya Miaka 49 ya CCM https://youtu.be/D6wSTppiLiE?si=jq8mVBs9RbnrhbsJ Video 👆🏿👆🏿👆🏿 Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi ni ushahidi wa imani ya wananchi...
0 Reactions
1 Replies
126 Views
Back
Top Bottom