Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sijajua kama ni awamu ya sita au saba, ila nachojua ipo kama jike la hayawani lililopo kwenye joto. Inatafuta mkunaji ila haiko tayari kukunwa. Bado haijapata beberu sahihi kufanya hiyo kazi...
5 Reactions
13 Replies
357 Views
Anaandika Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Rais Boniface Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X zamani Twitter juu ya maandamano ya waliojiita Wakatoliki walioenda Ubalozi wa Vatican...
3 Reactions
5 Replies
390 Views
GT. Narudia tena kuwaambia kwa sasa CCM wanawaza uchaguzi wa 2030 tu hawana jingine...Mwigulu kaja kama master mind wa kutengeneza upumbavu ili siku zisonge mbele. Tusipokuwa makini mtachezewa...
3 Reactions
3 Replies
186 Views
Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanza siku ya Jumanne Januari 13 hadi ljumaa ya Januari 23, 2026 katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. Hivyo wanapaswa...
0 Reactions
2 Replies
290 Views
Hata nikiwekewa kisu na bastola za Police CCM kutaka kuniuwa, bado nitasimamia ukweli wangu kwamba, siitaki ccm maisha yangu yote yaliyobaki CCM wamekataliwa duniani na sasa ni Mungu kuudhirisha...
3 Reactions
3 Replies
166 Views
Tungekuwa na strong National intelligence kama USA au UK, Samia hasingekalia icho kiti,, SSH amegeuka kuwa adui wa taifa, amelitia aibu taifa, amelivuruga,amelibananga, amelitindinganya taifa...
10 Reactions
13 Replies
364 Views
  • Redirect
DeletedMember281674
1 Reactions
– Replies
– Views
Baadhi ya wananchi mkoani Arusha wameieleza Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 changamoto mbalimbali walizokumbana nazo wakati na baada ya vurugu na maandamano yaliyotokea siku hiyo...
2 Reactions
7 Replies
506 Views
  • Redirect
Wakristo na Waislamu wema wanaojitambua, Haya so called maandano ya jana, ni ushenzi mkubwa. Ni udini wa kiliangamiza taifa! Hawa ni wa dini ileeeee! Ni wachache wao na si wote. Tuwe na umoja...
2 Reactions
– Replies
– Views
Friends and Our Enemies, Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wao Ruwaichi limeingia kwenye vita kali ya maneno na majibizano na waumini wake mara baada ya waumini hao kuandaa maandiko na kuyapeleka...
9 Reactions
109 Replies
2K Views
Wanabodi, Katika zoezi la kusaka vyeti bandia linaloendelea sasa, kuna watu wanashindwa kutofautisha kati ya vyeti bandia na vyeti halisi, halali na vya kweli, na pia kushindwa kutofautisha...
25 Reactions
294 Replies
51K Views
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗧𝗘𝗠𝗕𝗘𝗟𝗘𝗔 𝗠𝗔𝗢𝗡𝗘𝗦𝗛𝗢 𝗬𝗔 𝟭𝟮 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗬𝗔 𝗕𝗜𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗭𝗔𝗡𝗭𝗜𝗕𝗔𝗥 (𝗭𝗜𝗧𝗙 𝟮𝟬𝟮𝟲) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
  • Redirect
Baadhi ya wananchi mkoani Arusha wameieleza Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 changamoto mbalimbali walizokumbana nazo wakati na baada ya vurugu na maandamano yaliyotokea siku hiyo...
0 Reactions
– Replies
– Views
Tumsifu Yesu Kristu viongozi wangu, Naandika makala hii nikiwa nawakilisha kundi kubwa la waumini wa kanisa katoliki ambao tumechoka kuona kanisa letu linadhalilishwa na kufanywa kama eneo la...
11 Reactions
16 Replies
422 Views
Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania...
18 Reactions
136 Replies
10K Views
  • Redirect
Anaandika Askofu Bagonza (PhD) "POLISI NA “WAKATOLIKI” 1. Nalazimika kuwapongeza Polisi wetu kwa ukomavu wao na ustaarabu wa kutozuia maandamano ya “Wakatoliki” walioenda kueleza hisia zao kwa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Alipoapishwa kuwa Rais baada ya mtangulizi wake kufariki, Samia alikuwa anakuja sana Marekani. Alijipendekeza kwa Kamala Harris, mpaka wakafanya ka press conference, na baadaye Kamala...
25 Reactions
87 Replies
2K Views
Wanaodai kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki, leo Januari 5, 2026 wamefika katika Ubalozi wa Vatican kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Jude...
1 Reactions
19 Replies
750 Views
Back
Top Bottom