Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Yaani mtu unakaa na file mezani kwako wiki mbili au mwezi mzima unalisogeza tu kila ukiletewa chai...., kwani unapata faida gani au unafanya nini muda wote huo kutojali file ambalo ungeweza...
11 Reactions
32 Replies
804 Views
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akitimiza siku 100 madarakani tangu alipoapishwa Novemba 3, 2025, ahadi ya kuunda tume ya maridhiano na kuanza kwa mchakato wa katiba mpya imekuwa ikihojiwa. Lakini...
9 Reactions
25 Replies
897 Views
Utasikia oo Rais huyu ni katili sana ...kampeleka mahakamani anamtesa tu.anaweza kutoa neno moja tu na kesi hii ikaisha. Kama tunaamini hivyo ni ipi sababu yakumchokoza,kumdhihaki na kumkasirisha...
1 Reactions
22 Replies
384 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ametua kwa kishindo kikuu kilicho itetemesha Ardhi ya Adis Ababa...
3 Reactions
41 Replies
671 Views
Chadema imenuia Kuvuruga utaratibu na heshima ya mahakama kwa kuanza kuigiza kutafuta huruma kwa watanzania Mahakama ni taasisi ya haki inayopaswa kuendeshwa kwa nidhamu, utulivu na umakini...
3 Reactions
25 Replies
505 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema watu wengi wanahoji kuhusu masuala ya maridhiano, akiuliza, “Unakaa na nani? Nakaa na mtu ambaye amemkamata...
4 Reactions
7 Replies
525 Views
Kheri ya Mwaka Mpya! 1. Kwa heshima na taadhima. Ninapenda kuchukua nafasi hii. 2. Kuiomba serikali iufungulie mtandao wa Jamiiforum ili mambo mengine yaendelee. 3. Jamiiforum ni moja ya mambo...
15 Reactions
115 Replies
2K Views
Mhe. Lissu: Wewe sio mtaalamu wa Chochote ndio maana ni Koplo wa polisi. Ungekuwa mtaalamu usingekuwa Koplo
19 Reactions
43 Replies
2K Views
Ili heshimika kama chombo kikubwa cha kidunia kikiangazia ishu kubwa kubwa za kidunia na kikanda tangu ihamishiwe Kenya imekuwa garasa hadi kuhoji vitu vya kitoto kama ndoa na mahusinanaleo...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita. Rais wetu...
1 Reactions
34 Replies
772 Views
Ndo maana CAF hawataki Serikali kujihusisha na Mpira. Wasaidizi wa anayejiita Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, waomba AFCON iahirishwe hadi 2028. Wanadai Viwanja na maandalizi hayatakuwa...
17 Reactions
39 Replies
1K Views
Wadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria...
4 Reactions
35 Replies
726 Views
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA, Amani Golugwa amewatangazia wanachama wa chama hicho kuanzia leo Februari 11, 2026 wako huru kutumia rasilimali za chama hicho zikiwemo ofisi na magari, kwa kuwa...
9 Reactions
37 Replies
1K Views
Haya yamesemwa na CAG kicheere leo , ikumbukwe kwamba jambo hili lililalamikiwa sana na Maalim Seif wakati wa Mgogoro wa Cuf uliofadhiliwa na ccm. Mutungi alipuuza kwa vile kulikuwa na viashiria...
3 Reactions
53 Replies
7K Views
Tundu Lissu 🗣️Na Nyie ambao mna watoto mnawapeleka kuwa askari polisi mnawapeleka kwenda kutenda Dhambi za kusema uongo, mjue hivyo. Kauli ya Mheshimiwa Tundu Lissu kwamba watoto wanaopelekwa...
19 Reactions
35 Replies
944 Views
Mpo salama! Kwa uelewa wangu nafahamu Wazalendo(wapenda nchi) wa dhati wapo popote. Kuna Wazalendo wapo CCM. Kuna Wazalendo wapo CHADEMA Kuna Wazalendo wapo vyama vingine vya upinzani. Na kuna...
13 Reactions
63 Replies
2K Views
Hivi hawa ni watu kweli? Au serikali hii inaongozwa na Mashetani ila hatujui? Mtu unamfungia jela miezi 10 ili hali ukijua kuwa Hana kesi ila unamkomoa, halafu una mleta mahakamani anakopambana...
27 Reactions
108 Replies
3K Views
Dr. Ferdinand Masau (Bingwa wa Magonjwa wa Moyo na Upasuaji) aliamua kuacha kazi nzuri ya kulipa huko Marekani na kurudi nyumbani kuleta ujuzi wake na vipaji vyake ili kusaidia Watanzania wenzake...
12 Reactions
1K Replies
176K Views
https://www.instagram.com/reel/DUsyVutAudz/?igsh=N3lkOHM0bm52anVs
4 Reactions
19 Replies
481 Views
Back
Top Bottom