Lengo la Agustino Polepole kujitokeza ni lipo haswa?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
38,844
Reaction score
90,300
Hamjambo!

Mara ya mwisho Agustino Polepole alituaga na Kauli tata, za kibabe, mikwala kama yote. Lakini pia mikwala yake ilijaa msisimko wa kihisia. Maumivu ya kisaikolojia ambapo ingekuwa ngumu kutabiri ukweli wa kile anachokizungumza.

Alitoa vitisho vikali ambavyo hata kwa jemadari yeyote angeshtushwa na kuingia ubaridi.
Kwani kiusalama huwezi kumu-understimate adui yako hata kama angekuwa mdogo kama kipepeo.

Kauli tishio zaidi ambayo iliniogopesha mpaka mimi ni pale aliposema hataonekana tena isipokuwa kwa dharura maalum. Ukimya wake ulileta mchanganyiko wa hofu kwa adui zake, na tumaini Kwa wanaomsapoti.

Hata hivyo wapo waliokuwa wanaulizia mbona kimya. Na muda umepita.

Juzi jamaa kajitokeza tena.
Kaongea aliyoongea.

Swali kwangu najiuliza; Kwa nini ajitokeze wakati huu?
Anampango wowote?
Au anajaribu kuhuisha agano na kiapo chake kwa adui zake?

Au anajaribu kuchafua Hali ya hewa na kuwafanya adui zake wasiishi kwa Amani, yaani kuwakumbusha bado yupo? Kwamba anacheza psychological Warfare

Kiintelejensia anajaribu kutoa dalili au ishara au kutuma ujumbe gani uliojificha?

Bado sielewi ni mantiki ipi imfanye ajitokeze. Yaani anadharura ipi? Maana alisema hata tokea tena na akitokea basi ni bahati na kwa dharura.

Au tuchukulie ni amejitokeza tuu baada ya kumkumbuka ndugu yake. So mihemko na hasira vikamfanya ajitokeze azungumze kujituliza moyo wake?

Wataalam mkuje hapa. Tuchambue.

TaikonMaster.
Kwa sasa Book Basihaya, Dsm
 
Sasa hapa kujua sababu za mtu ni ngumu bila kupata vielelezo hasa vile vya msingi kutoka kwake mwenyewe au mtu wake wa karibu

Wataalamu wa psychology na mambo ya intelejensia wanaweza kutupa dondoo hata kama hawatapatia kwa asilimia miamoja. Lakini wataukaribia ukweli au kuonyesha mwanga
 
Hamjambo!

Mara ya mwisho Agustino Polepole alituaga na Kauli tata, za kibabe, mikwala kama yote. Lakini pia mikwala yake ilijaa msisimko wa kihisia. Maumivu ya kisaikolojia ambapo ingekuwa ngumu kutabiri ukweli wa kile anachokizungumza.

Alitoa vitisho vikali ambavyo hata kwa jemadari yeyote angeshtushwa na kuingia ubaridi.
Kwani kiusalama huwezi kumu-understimate adui yako hata kama angekuwa mdogo kama kipepeo.

Kauli tishio zaidi ambayo iliniogopesha mpaka mimi ni pale aliposema hataonekana tena isipokuwa kwa dharura maalum. Ukimya wake ulileta mchanganyiko wa hofu kwa adui zake, na tumaini Kwa wanaomsapoti.

Hata hivyo wapo waliokuwa wanaulizia mbona kimya. Na muda umepita.

Juzi jamaa kajitokeza tena.
Kaongea aliyoongea.

Swali kwangu najiuliza; Kwa nini ajitokeze wakati huu?
Anampango wowote?
Au anajaribu kuhuisha agano na kiapo chake kwa adui zake?

Au anajaribu kuchafua Hali ya hewa na kuwafanya adui zake wasiishi kwa Amani, yaani kuwakumbusha bado yupo? Kwamba anacheza psychological Warfare

Kiintelejensia anajaribu kutoa dalili au ishara au kutuma ujumbe gani uliojificha?

Bado sielewi ni mantiki ipi imfanye ajitokeze. Yaani anadharura ipi? Maana alisema hata tokea tena na akitokea basi ni bahati na kwa dharura.

Au tuchukulie ni amejitokeza tuu baada ya kumkumbuka ndugu yake. So mihemko na hasira vikamfanya ajitokeze azungumze kujituliza moyo wake?

Wataalam mkuje hapa. Tuchambue.

TaikonMaster.
Kwa sasa Book Basihaya, Dsm
Labda ndio TFF ya Karia 😆😆
 
Alitua Nchini, MAFWELE akatekwa, akasepa ., Amejitokeza .
 
kwa kijana mzalendo anayefikiria maswala ya uzalishaji sasa akili zake kawekeza kwenye pembejeo na neema kedekede zilizoko chini ya mama yetu mpendwa
 
Ni vibe tu ya pombe hata wewe ukilewa unaweza kuja kuandika ujinga na ndo yeye akilewa anajitokeza kuongea ujinga hivyohivyo
 
Na taarifa alizotoa mi naona Anazidi kumuweka mdogo wake kwenye hatari kubwa zaidi. Maana kasema yupo kigamboni mara wanataka kumuhamisha , mara mtekaji kuna jambo limempata, yaani mwisho atafanya wamuue yaishe.
 
Back
Top Bottom