Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Magufuli pamoja na mapungufu yake yote alipenda watu waadilifu wasio na makandokando ndo maana alivyomstukia kondakta alimweka pembeni na kweli kondakta alikua team mtandao. Je wakati Magufuli...
1 Reactions
9 Replies
317 Views
Nimechukua muda kutafakari historia za kisiasa za Venezuela, Iran, Russia, China n.k pamoja na kuangalia Hali ya kisiasa ya dunia kwa sasa, ukweli mchungu ni kwamba katika nchi yetu ni vigumu...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 9, 2026 akizungumza na wananchi wa Namanyere, mkoani Rukwa ametoa maelekezo kwa Mawaziri kuweka kwenye sheria kwamba mkandarasi anapolipwa fedha zake...
0 Reactions
2 Replies
234 Views
Idadi kubwa ya wananchi iko chini ya uongozi wa Mkuu wa Wilaya (DC) na Mkurugenzi (DED) wake. Hawa ni watu ambao wanapaswa wawe na uwezo mkubwa wa kielimu, uongozi, uzoefu, umri na hadhi ya...
5 Reactions
21 Replies
513 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani limetoa ufafanuzi kuhusu kukamatwa kwa wanachama 29 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwemo wanawake 20 na wanaume 9, ambao baadaye waliruhusiwa kwa...
1 Reactions
8 Replies
374 Views
Wanabodi, Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo. Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Mwigulu Nchemba huna credilibity yoyote ya kujifanya mzalendo zaidi ya kufanya maigizo kuigiza uzalendo Wewe ndo uliwambia wananchi maskini baada ya kulalamikia tozo ukasema wananchi waende...
30 Reactions
84 Replies
1K Views
Suala la October 29 lilitakiwa kuamusha viongozi wote kutoka usingizini na wale wanaotaka uongonzi kwamba watanzania wameamka toka usingizini...
3 Reactions
3 Replies
193 Views
Ni Rukwa tena ziara ya kikazi,Namanyere Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 📅 Jumatatu – Machi 09, 2026 ⏰️ Kuanzia saa 3 asubuhi Lengo la Ziara: 1. Kuweka Jiwe la...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hoja yangu ni fupi na rahisi tu kueleweka. PhDs zimechemkaje? 1. Kumkamia wasiyempenda zaidi badala ya Faraja kwa anayeagwa na Wanafamilia...
10 Reactions
69 Replies
2K Views
Umoja wa Ulaya umekiri kuweka vikwazo vya kifedha kwa serikali ya Tanzania kufuatia Uchaguzi wa 2025 ambao wadau wengi walikiri kuwa ulidhoofisha demokrasia. Katika mahojiano ya kina na ya...
15 Reactions
35 Replies
1K Views
Magazeti yameandika kuwa mikataba ya madini inatamka wazi kuwa kila mwekezani anatakiwa kuchangia dola za kimarekani laki mbili na arobaini elfu ( 240,000$US ) kwa ajili ya maendeleo ya wananchi...
3 Reactions
416 Replies
58K Views
Kwanza,ni kweli Kihongosi amesema hivyo? Kwa sababu hawa ²wana habari wa Kenya hawaeleweki wanayozungumza. Halafu Lissu anaweza vipi kujitokeza kama bado yupo jela?. Halafu Jumuiya ya Commonwealth...
1 Reactions
1 Replies
237 Views
Mahakama imesikiliza hoja za upande wa mashitaka na mshitakiwa kuhusu notice inayohusiana na ushahidi wa ziada, ambapo mshitakiwa Tundu Lissu amesisitiza kwamba jambo hilo halina msingi kisheria...
7 Reactions
15 Replies
742 Views
Imekuwa aibu kuu kwa Nchi Baada ya wakina Mama wa Chadema kuzuiwa kuadhimisha siku ya kidunia ya Wanawake Aibu zaidi limepata jeshi la Polisi Baada ya kukubali kutumikishwa kudhibiti akina Mama...
10 Reactions
17 Replies
720 Views
Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyamavingi Mwaka 1992, Tanzania imejengwajuu ya msingi wa kikatiba unaotambuademokrasia, utawala wa sheria na heshimakwa haki za binadamu. Katiba ya Jamhuri ya...
0 Reactions
1 Replies
239 Views
Wakuu, Balozi wa EU Christine Grau, amejibu lile swali la Who Are You kutoka kwa Rais Samia Hapa Balozi alikuwa anazungumza na The Chanzo na alivyoulizwa kuhusu wapi ambapo Umoja wa Ulaya...
6 Reactions
11 Replies
615 Views
Serikali ya Uingereza imeifikisha Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikitaka kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kufuatia kile ilichokiita "ukatili wa...
18 Reactions
61 Replies
2K Views
BALOZI MATINYI AFUTURU NA DIASPORA WA SWEDEN NA KUWAAGA Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi akitoa nasaha zake na kuwaaga Watanzania waishio nchini Sweden wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Ubalozi...
1 Reactions
0 Replies
248 Views
Back
Top Bottom