Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika...
1 Reactions
22 Replies
507 Views
MHE.GHATI CHOMETE (MB) ATUMA UJUMBE MKOANI MARA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Wanawake na wananchi wa Mkoa wa Mara, Mimi Mwakilishi wenu ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ninaungana...
0 Reactions
2 Replies
160 Views
Jeshi la Polisi Bunda mapema leo limewakamata jumla ya Bawacha 39 kutoka mikoa ya Dodoma na Iringa. Kati yao, 31 wanatoka Dodoma na 8 wanatoka Iringa. Awali Bawacha waliotoka Dodoma walikuwa...
4 Reactions
13 Replies
435 Views
𝟐𝟓𝐓𝐇 𝐄𝐀𝐂 𝐇𝐄𝐀𝐃𝐒 𝐎𝐅 𝐒𝐓𝐀𝐓𝐄 𝐒𝐔𝐌𝐌𝐈𝐓 𝐌𝐞𝐝𝐢𝐚: 𝐊𝐞𝐲 𝐏𝐚𝐫𝐭𝐧𝐞𝐫𝐬 𝐨𝐟 𝐈𝐧𝐭𝐞𝐠𝐫𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧 🍃 EAC remains committed to strengthening partnerships with the media as a key pillar in advancing regional integration...
2 Reactions
2 Replies
192 Views
Amani ya bwana. Tangu rais Magufuli aingie madarakani miaka miwili iliyopita kundi la watu ambao wamepata wakati mgumu zaidi ni mafisadi na wakwepa kodi. Makundi mengine kama wamachinga...
19 Reactions
366 Replies
38K Views
Leo Oktoba 29, 2025 Wanaingia katika zoezi la kupiga kura na kutimiza haki yao ya kikatiba kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais watakaoongoza kwa kipindi kingine cha miaka 5. Wakati hayo...
2 Reactions
620 Replies
37K Views
Mwigulu Nchemba na Samia Suluhu ni genge moja lilishiriki Mauaji ya 29.10.2025 Nchi Tanzania.. Wananchi walliokuwa wanapinga Uchaguzi kkuyokuwa huru, walliuawa kama Nzi. Hadi Dunia ikashituka...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wasimamizi wa uchaguzi kuhakikisha zoezi la upigaji kura linakuwa la wazi kwa mujibu wa kanuni za...
1 Reactions
11 Replies
540 Views
Habari za wakati huu; Leo ninaendelea na sehemu ya pili ya Simulizi za Mkatekumeni Ni mwendelezo usio na mtiririko wa ndoto mbalimbali ninazoota hasa zinazohusisha viongozi na masuala mbalimbali...
1 Reactions
2 Replies
373 Views
Kumbukumbu za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania zitaendelea kudumu katika akili za wengi, si tu kwa matokeo yake, bali kwa "giza la kidigitali" lililotanda nchini kote. Uamuzi wa...
8 Reactions
8 Replies
433 Views
Nguvu iliyotumika kudhibiti Waandamanaji Oktoba 29, 2025 ilikuwa kubwa kuliko uhalisia Katika historia ya Tanzania, suala la matumizi ya nguvu dhidi ya waandamanaji imekuwa ni suala geni na...
1 Reactions
7 Replies
334 Views
Hamjambo wakulungwa! 1. Robert ninapoandika maandiko na makala zangu. Mwanasaikolojia atakuwa na uwezo wa kuchambua Makala na content niliyoandika lakini hataweza kuchambua hisia, mtazamo na...
10 Reactions
108 Replies
2K Views
Kesi ya Ado Shaibu na wenzie 5 kuhusu uchaguzi mkuu Tanzania yaisha huku Mahakama ya Afrika ikiibana serikali ya Tanzania kutekeleza yafuatayo : 06 March 2026 Arusha Tanzania...
3 Reactions
10 Replies
482 Views
Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 akizungumzia mazingira ya kisiasa nchini ameeleza...
2 Reactions
30 Replies
652 Views
  • Redirect
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema nchi jirani hazitashambuliwa tena isipokuwa kama mashambulizi dhidi ya Iran yatatoka katika nchi hizo. Pezeshkian pia ameomba radhi kwa mataifa ya jirani...
2 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
DeletedMember281674
Muda huu tumewekewa Mubashara katika hii Television ya TAIFA mashindano ya kusoma Quaran yanafanyika Kondoa Dodoma, wakati Kuna tukio kubwa la KITAIFA NA KIKANDA kinaendelea pale AICC - ARUSHA...
2 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
https://www.instagram.com/p/DVk-6EJAtXu/?img_index=1
0 Reactions
– Replies
– Views
Kuna kiongozi / viongozi sasa ni zaidi ya miezi anaongea/ wanaongea pumba! Hakuna any meaningful takehome message from his mouth!
4 Reactions
16 Replies
410 Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa majibu makali mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikiyashutumu mataifa ya Magharibi na asasi za kimataifa kwa kutoa...
1 Reactions
19 Replies
521 Views
Back
Top Bottom