Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa nini? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu. Tukumbuke Kila mgombea aliyeteuliwa alikuja na "falsafa" yake ya kuongoza nchi. NYERERE - Siasa...
6 Reactions
65 Replies
3K Views
"KUNA watu wanatengeneza makusudi mgawanyiko kwa maslahi binafsi, tusikubali kugawanyika kwa kuwa sisi sote ni watoto wa Adam na Hawa., tusigawanywe na hawa wataka madaraka na wanaotaka matajiri...
7 Reactions
3 Replies
297 Views
Watumishi wengi walioelimika sana wamegeuza elimu kuwa kama taji la kunyanyasa wengine, kuwaona wengine si chochote, kuwapelekesha wanavyotaka, n.k, Wanaona elimu kama status symbol ya kunyanyasa...
0 Reactions
1 Replies
73 Views
Tunaishi katika nyakati ambazo ni za ajabu sana, kijana asiyeoa anahangaika hata kupata msichana wa kumpenda, lakini mwanaume aliyeoa ana mahusiano ya siri ( michepuko) zaidi ya mitano. Imagine...
4 Reactions
7 Replies
282 Views
Wakuu, Wakatoliki feki wazidi kuumbuka. Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya. Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu...
25 Reactions
128 Replies
4K Views
Maana kwasasa, Kimebaki kama kituo cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikijikita zaidi katika kuchakata porojo na uzushi ambao hauwasaidii bali kuwapoteza zaidi, na kosa kubwa...
1 Reactions
11 Replies
269 Views
-Kuna kisa nimesikia titok vijana watatu walikamatwa mchana kweupe tarehe 4 December huko Tarime na wote kukutwa wameuawa baada ya kupotea kwa siku kadhaa wakiwa wamevunjwa shingo. What is this...
0 Reactions
2 Replies
232 Views
Yaani mkusanye watu wasiofaa hata kutazamika kwa macho alafu mdanganye kuwa ni waumini wa dini fulani ambayo kataa usikatae ina ushawishi mkubwa hapa nchini basi wewe hako sawa. Kwanza hii...
11 Reactions
22 Replies
564 Views
DeletedMember281674
Dunia ya Sasa imebadilika Sana, hususani katika kufanya mashambulizi kwa maadui tumeshuhudia matumizi ya teknolojia ya Hali ya juu Sana hususani matumizi ya Drones (Ndege zisizo na rubani)...
15 Reactions
73 Replies
2K Views
Uvamizi wa Jeshi la Marekani nchini Venezuela na kutekwa kwa Rais wa Nchi hiyo umetoka masaa matano tu tangu Rais Maduro akutane na maafisa kutoka China. Katika masula ya siasa za kikanda na...
10 Reactions
41 Replies
2K Views
  • Redirect
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleman Bungara, 'Bwege', ametoa wito kwa Watanzania kutoaingia kwenye mgogoro wa dini aliodai kuwa umeanzishwa na watu waliojawa na uroho wa madaraka ambao...
0 Reactions
– Replies
– Views
Kuna vyama fulani , huwa vinaamini vina ushawishi , kupitia Comments chache za matusi Mitandaoni. na kusahau kuwekeza kwa watu hasa wale wa chini kabisa ambao huwa hawatumii mitandao Ambao ndo...
3 Reactions
28 Replies
420 Views
Anaandika Askofu Bagonza mtandaoni........... POLISI NA “WAKATOLIKI" 1. Nalazimika kuwapongeza Polisi wetu kwa ukomavu wao na ustaarabu wa kutozuia maandamano ya “Wakatoliki” walioenda kueleza...
29 Reactions
47 Replies
2K Views
“Ikionekana Rais abakishiwe Mamlaka aliyonayo kwangu ni sawa, wakisema apunguziwe kwangu ni sawa, na hata wakisema aongezewe zaidi kwangu ni sawa tu” Dr. Makame, Mbunge wa Bunge la Afrika...
0 Reactions
4 Replies
198 Views
TWISEHENI YA HAKI NA AMANI. Hapa Mungu ametupitisha sote katika kujifunza Umuhimu wa Haki katika jamii.Taifa stars wamenyimwa Haki ili kulinda Amani na Utulivu wa Wamoroco. Nimefurahi somo hili...
4 Reactions
13 Replies
331 Views
Abdallah Makame, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, amesema kuwa taifa lina utaratibu wake wa kushughulikia vifo vinapotokea nchini, ikiwemo kutoa pole kwa wafiwa na kuwajali waliojeruhiwa...
0 Reactions
2 Replies
140 Views
Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe . Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ...
3 Reactions
20 Replies
715 Views
Communists walidanganya wengi, afrika ilidanganywa na communists kwa miaka 60 sasa kwamba Christianity ni adui yao na capitalism inawanyonya, matokeo yake viongozi wa afrika waliwekeza miaka 60...
1 Reactions
10 Replies
239 Views
Naona sisiemu mmeipatia ushindi ,tena wa mezani . Yaani wale front-liners , wote wameamua kurudi nyuma na kubaki katika kuwasikiliza manabii, wachungaji n.k kuhusu utawala. Lissu alisema...
1 Reactions
3 Replies
157 Views
Mwenye nyumba Kariakoo (Mtaa wa Sikukuu/Kipata) anataka kuvuruga watu. Hapo nyuma alikuwa anapokea kodi ya TZS 24,000,000/= p.a, lakini yeye analazimisha na mwanasheria wake kuandika kodi ya TZS...
12 Reactions
53 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…