The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,939
"KUNA watu wanatengeneza makusudi mgawanyiko kwa maslahi binafsi, tusikubali kugawanyika kwa kuwa sisi sote ni watoto wa Adam na Hawa., tusigawanywe na hawa wataka madaraka na wanaotaka matajiri kwa njia za haramu, kuna kikundi kina madaraka na utajiri ndio wanaotugambanisha.
Hawa watu wapo tayari kuua kwa ajili ya madaraka yao ili kutugawa sisi, naomba Watanzania, tusikubali," Suleman Bungara 'Bwege'.
Hawa watu wapo tayari kuua kwa ajili ya madaraka yao ili kutugawa sisi, naomba Watanzania, tusikubali," Suleman Bungara 'Bwege'.