Mama Samia ni mgombea mpya kabisa wa CCM 2025 - 2030

Daraja2

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
285
Reaction score
346
Kwa nini? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu.

Tukumbuke Kila mgombea aliyeteuliwa alikuja na "falsafa" yake ya kuongoza nchi.
  1. NYERERE - Siasa ya ujamaa na kujitegemea (falsafa mama).
  2. MWINYI - Ruksa.
  3. MKAPA - Ukweli na uwazi.
  4. KIKWETE - Ari mpya, nguvu mpya na Kasi mpya.
  5. MAGUFULI - Hapa kazi tu.(majungu peleka ukawa😂😁🤣).
Baada ya kufariki MAGUFULI ikabidi Mama SAMIA asaidie kufikisha jahazi ukingoni (kikatiba) ndio maana aliiendeleza falsafa ya Rais husika (hayati) kwa kauli KAZI IENDELEE.

Kwa hiyo Rais wa awamu ya 6 ataanza kazi rasmi 2025 - 2030 ambaye ni MAMA DR.SAMIA SULUHU HASSANI kwa kuchaguliwa kihalali na wajumbe wote halali.

HONGERA SANA MAMA !!!

Tukumbushane kidogo kipindi cha nyuma Urais ulizingatia pande mbili "kipindi hiki akitokea bara, kipindi kinachofuata atatokea Zanzibar na kinyume chake" lakini kwa Sasa sheria hii haizingatiwi sana.

Ni utaratibu tu mtakao kubaliana kwa pamoja kulingana na nyakati hizo (huko mbeleni).

Mnavyomlaumu mama wa watu Kama vile amejiteua kipindi hiki kwa nini msingepinga pale pale ukumbini.

ACHENI UNAFIKI.

Namalizia kusema kwamba mama yupo kihalali Hadi 2030 Kama mlivyokubaliana.

KATIKA KUSAKA URAIS KWA MARA YA KWANZA (awamu ya 6) MAMA SAMIA ATAKAPOZUNGUKA NCHI NZIMA ATAKUJA NA "FALSASA" YAKE ITAKAYOIONGOZA NCHI KUENDANA NA KARNE YA 21.

Wananchi tunaisubiri kwa hamu sana "falsafa" hiyo mpya itakayotambulishwa "soon".

Nitarudi baadaye kidogo.........

Ahsanteni.
 
Kwa nini ? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu.

Tukumbuke Kila mgombea aliyeteuliwa alikuja na "falsafa" yake ya kuongoza nchi.

(1). NYERERE - Siasa ya ujamaa na kujitegemea (falsafa mama).

(2) MWINYI - Ruksa.

(3) MKAPA - Ukweli na uwazi.

(4) KIKWETE - Ari mpya,nguvu mpya na Kasi mpya.

(5) MAGUFULI - Hapa kazi tu.(majungu peleka ukawa😂😁🤣).

Baada ya kufariki MAGUFULI ikabidi Mama SAMIA asaidie kufikisha jahazi ukingoni (kikatiba) ndio maana aliiendeleza falsafa ya Rais husika (hayati) kwa kauli KAZI IENDELEE.

Kwa hiyo Rais wa awamu ya 6 ataanza kazi rasmi 2025 - 2030 ambaye ni MAMA DR.SAMIA SULUHU HASSANI kwa kuchaguliwa kihalali na wajumbe wote halali.

HONGERA SANA MAMA !!!

Tukumbushane kidogo kipindi cha nyuma Urais ulizingatia pande mbili "kipindi hiki akitokea bara,kipindi kinachofuata atatokea Zanzibar na kinyume chake" lakini kwa Sasa sheria hii haizingatiwi sana.

kwa hiyo mama samia hajaongoza miaka 10 kwenye umakamu na urais? au unajichetua akili zako.
 
Angetosheka na awamu yao angevuna legacy sasa hivi hata ya Duterte nayo yanamkodolea macho.

Ama kweli ajizi nyumba ya njaa!
 
Huyu tunaye mpka 2035 ndo awamu yake inakwisha kwahiyo ni mikumi sio mitano tena
 
Hayati JK- Nyerere - 1963-1985
Hayati A.H- Mwinyi - 1985- 1995
Hayati B.W- Mkapa - 1995-2005
Mstafu J.M- Kikwete - 2005-2015
Hayati J.P- Magufuli - 2015- 2021
Mh. S.S- Hassan - 2021-2025

Kwa hesabu za hapo juu, ilikuwa Mh. Wa sasa astaafu kwa heshima, wengine waendeleze gurudumu la awamu ya sita
 
Mmmh huyu tuende nae mpaka 2030 hapana kwa namna alivyo ni tutafikia hatua za kupigana na kulipuana kama huko afghanistan
Barabara zinajengwa huyu mama akikaka miaka kumi nchi itapiga hatua kuliko kawaida
Atengane na machawa tu waimba mapambaio
 
Kwa nini ? Kwa sababu hakuwahi kugombea kabisa nafasi hiyo (ya kupeperusha bendera) na kuhudumu.

Tukumbuke Kila mgombea aliyeteuliwa alikuja na "falsafa" yake ya kuongoza nchi.

(1). NYERERE - Siasa ya ujamaa na kujitegemea (falsafa mama).

(2) MWINYI - Ruksa.

(3) MKAPA - Ukweli na uwazi.

(4) KIKWETE - Ari mpya,nguvu mpya na Kasi mpya.

(5) MAGUFULI - Hapa kazi tu.(majungu peleka ukawa😂😁🤣).

Baada ya kufariki MAGUFULI ikabidi Mama SAMIA asaidie kufikisha jahazi ukingoni (kikatiba) ndio maana aliiendeleza falsafa ya Rais husika (hayati) kwa kauli KAZI IENDELEE.

Kwa hiyo Rais wa awamu ya 6 ataanza kazi rasmi 2025 - 2030 ambaye ni MAMA DR.SAMIA SULUHU HASSANI kwa kuchaguliwa kihalali na wajumbe wote halali.

HONGERA SANA MAMA !!!

Tukumbushane kidogo kipindi cha nyuma Urais ulizingatia pande mbili "kipindi hiki akitokea bara,kipindi kinachofuata atatokea Zanzibar na kinyume chake" lakini kwa Sasa sheria hii haizingatiwi sana.

Ni utaratibu tu mtakao kubaliana kwa pamoja kulingana na nyakati hizo (huko mbeleni).

Mnavyomlaumu mama wa watu Kama vile amejiteua kipindi hiki kwa nini msingepinga pale pale ukumbini.

ACHENI UNAFIKI.

Namalizia kusema kwamba mama yupo kihalali Hadi 2030 Kama mlivyokubaliana.

KATIKA KUSAKA URAIS KWA MARA YA KWANZA (awamu ya 6) MAMA SAMIA ATAKAPOZUNGUKA NCHI NZIMA ATAKUJA NA "FALSASA" YAKE ITAKAYOIONGOZA NCHI KUENDANA NA KARNE YA 21.

Wananchi tunaisubiri kwa hamu sana "falsafa" hiyo mpya itakayotambulishwa "soon".

Nitarudi baadaye kidogo.........

Ahsanteni.
Kweli kazi ipo
 
Kurithi uongozi !!! Huu ni kati ya ubovu uliomo ndani ya katiba.Kiongozi aliyekuwepo madarakani amechaguliwa na wananchi kivipi ikitokea bahati mbaya akifa arithiwe na makamu wake? Kwani nchi ni mali ya ukoo wa rais na makamu .
 
Ibara ya 37(5) – Utekelezaji wa kazi na shughuli za Rais

"Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na maradhi ya mwili au kushindwa kutekeleza kazi na shughuli za Rais, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano."

---

🗳️ Ibara ya 40(4) – Haki ya kuchaguliwa tena

"Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu, ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara moja tu."

📌 Mfano halisi: Rais Samia Suluhu Hassan alirithi kiti cha urais Machi 2021 baada ya kifo cha Rais Magufuli, akiwa amebakiza takriban miaka minne na nusu ya muhula. Kwa hiyo, ataruhusiwa kugombea urais mara moja tu katika uchaguzi ujao.
 
Umakamu sio uraisi mwelewe mwandishi
kwa nini mnataka kulazimisha vitu, ninyi endeleeni, sisi tunamwachia Mungu, kama Mungu anataka aendelee kuongoza hakuan wa kuzuia, ila kama Mungu kaamua vingine msipoteze muda. ila kitendo cha kufuta makanisa na kuacha misikiti wazi kimemletea doa kubwa sana.
 
Tatizo siyo yeye kugombea au kutogombea! Ni haki yake kwa mjibu wa Katiba kuchagua au Kuchaguliwa. Kinacholalamikiwa ni Mchakato wa kumpitisha kuwa Mgombea! Na wengine wangeruhusiwa kuchukua fomu ili apite katika Mchujo.
Siyo Bosi wake kumpitisha juu kwa juu.
 
Back
Top Bottom