Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kaka Yericko Embu tujuze kipi utafaidika au una faidika iwapo mpiganaji Tundu wa LISU akinyongwa? Sote tunajua, ulishindwa kwenye harakati za chama na kikundi Chako kuwania madaraka ya kumbakisha...
22 Reactions
67 Replies
950 Views
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—”π—§π—˜π— π—•π—˜π—Ÿπ—˜π—” π—©π—”π—§π—œπ—–π—”π—‘ π—–π—œπ—§π—¬ Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, jana Alhamisi Septemba 24, 2026, alitembelea Vatican City akiwa jijini Roma, Italia, katika ziara ya kando ya Mkutano wa...
3 Reactions
13 Replies
369 Views
Sina la kuongea ila naomba msikilize nyimbo hizi kwa kutafakari https://youtu.be/svhRxk6J3Vo?si=K6_cTxNzUEWYrxAi https://youtu.be/SSEv7X-DBh8?si=j25N2QSMlmDdE8wV...
2 Reactions
2 Replies
50 Views
Kada wa CCM ameipongeza Serikali kwa kujenga mochwari ya kisasa yenye huduma za vyoo, akisema ni hatua inayodhihirisha maboresho katika huduma za kijamii. Amesema amefurahishwa na kuona mochwari...
4 Reactions
18 Replies
356 Views
  • Redirect
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨ π—”π—§π—˜π— π—•π—˜π—Ÿπ—˜π—” π—©π—”π—§π—œπ—–π—”π—‘ π—–π—œπ—§π—¬ Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Alhamisi Septemba 24, 2026, alitembelea Vatican City akiwa Roma, Italia, katika ziara ya kando ya Mkutano wa Kimataifa wa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Shimo la Mungu lipo Mtwara, wilaya ya Newala jirani na makazi ya alyewahi kuwa Waziri wa Utawala Bora ndg Mkuchika.... Hatma ni nyingi kwa watekwa nyara na serikali hii...
1 Reactions
13 Replies
340 Views
  • Redirect
Unadhani ni nini kinachochea hali hii kuanza mapema kiasi hiki hata kabla ya hukumu ya mwenyekiti wao? Au ni ule usaliti unaotajwa ndio unaanza kujidhihitisha wenyewe taratibu ndani ya chadema...
1 Reactions
– Replies
– Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Francis Mbatia, amedai kuwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ilihusika katika mchakato wa kuondolewa kwake katika nafasi ya uenyekiti wa chama...
1 Reactions
2 Replies
159 Views
Namuona waziri wa michezo ndugu makonda amekomaa kutoa matamko eti Viongozi wa dini hawapaswi kuikosoa serikali bali kuiombea. Kama wana haki ya kuisifia lazima pia wawe na haki ya kuikemea...
2 Reactions
2 Replies
95 Views
Hili ni swali je kuna nchi ya namna hiyo hapa duniani? Kote duniani kwenye mataifa yote ya kidemokrasia na utawala wa raia viongozi hondolewa na; 1. Wananchi 2. Bunge 3. Mahakama Sasa hiki ni...
8 Reactions
23 Replies
456 Views
Leo kwenye runinga chaneli E wamemuonesha mwathirika wa agizo la mkuu wa mkoa mhe. Chalamila la kukamatwa na kuwekwa mahabusu familia yote ya Mushi wa Madale, akihojiwa huyo bibi mwenye umri kama...
6 Reactions
23 Replies
648 Views
Nimeona taarifa kuwa serkali imebadili ratiba za mitihani kwa wanafunzi wote waliotakiwa kufanya mitihani ya kitaifa na ratiba kurudishwa nyuma. El NiΓ±o yabadili ratiba ya mitihani ya taifa Kuna...
1 Reactions
14 Replies
359 Views
Katika hali inayoonyesha usanii mkubwa wa uongozi chini ya Mwenyekiti Mbowe, Aliyewahi kuwa mhariri wa gazeti la Tanzania Daima ndugu Absolom Kibanda, ameongea na Watanzania kupitia katika mtandao...
19 Reactions
76 Replies
4K Views
Akili za aliyeweka ujumbe kwenye bango ni za kuvukia barabara, kwa hiyo mnatuambia tunatakiwa kuweka jiji safi kisa Mama yenu kasema ila vinginevyo hamkuwa na mpango wa usafi. Mbongambonga...
0 Reactions
1 Replies
60 Views
Kati ya watu mil 67 wanaoishi hapa Tanzania wamekubali na kusema kuwa jezi alizotengeneza Sandaland kwa mkataba halali ni nzuri na zinafaa. Ila mtu mmoja tu ambaye ni waziri anadai kwenye macho...
5 Reactions
16 Replies
407 Views
Mwanasiasa mkongwe nchini, James Mbatia, amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinabeba laana na uwajibikaji mkubwa kutokana na kuratibu matukio ya vurugu na maafa yaliyotokea tarehe 29 Oktoba...
4 Reactions
3 Replies
186 Views
Serikali imezindua na kukabidhi boti maalum ya uokoaji na kuzima moto yenye thamani ya Sh bilioni 1.5, ikiwa ni hatua ya kuongeza uwezo wa kukabiliana na majanga katika Ziwa Nyasa. Boti hiyo ina...
9 Reactions
46 Replies
740 Views
SEHEMU YA KWANZA [Mshtakiwa TAL anaingia Mahakamani.] [Majaji wanaingia.] KARANI: Criminal Session, Kesi Na. 19605 ya 2025, Jamhuri dhidi ya Tundu Antipas Lissu. LISSU: Nipo tayari, Mheshimiwa...
10 Reactions
16 Replies
687 Views
NILICHOKISEMA CHANNEL 10 KUHUSU USHIRIKI WANGU KATIKA KATIBA, UCHAGUZI NA SASA PART 1 NILICHOKISEMA CHANNEL 10 KUHUSU USHIRIKI WANGU KATIKA KATIBA, UCHAGUZI NA SASA PART 2
6 Reactions
94 Replies
11K Views
Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi. Ninavyofahamu mashauriano kati ya...
5 Reactions
101 Replies
976 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…