Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Habari Tanzania !.
Eti watanzania mnaonaje mtakapo fanya mabadiliko ya Katiba Mpya; Diwani awe na sifa ya kuteuliwa kuwa Waziri ili achangie maendeleo yetu kwenye Taifa.
NB
Mkumbuke katika Mfumo uliopo nchini wa kisiasa; mwenye kujua changamoto za wananchi ni Diwani pia ndio mtu pekee mwenye matokeo ya kuonekana moja kwa moja kwa wananchi. Duniani huko Diwani ana nguvu kubwa kuliko Mbunge ndio maana hapa nchini kwenye Baraza la Madiwani eti tunampa hadhi Mbunge naye kuwa diwani huu ni uhuni wakubwa.
2. Wambunge watokane na Udiwani na sio ilivyo sasa.
Asante.