Kitila Mkumbo: Asanteni Mashekh kwa kunipigania uchaguzi 2025

Kitila Mkumbo: Asanteni Mashekh kwa kunipigania uchaguzi 2025

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,408
Reaction score
4,987
"Kwa uamuzi wenu siyo tu kwa kuniunga mkono, walioniunga mkono ni wengi, lakini kwa kitendo chenu cha kuniunga mkono waziwazi na hamkuficha. Mie ni mkristo na naungwa mkono na vongozi wangu wa kikristo, tofauti iliyopo ni kuwa hawa wameniunga mkono waziwazi bila kuficha, bila kusita nawashukuru"- Amesema Kitila



 
Kwamba sio wananchi wake waliomchagua.Naona wanazidi kufunguka na wizi wao CCM
 
Back
Top Bottom