Wadau, mimi nilishajua kuna siku nitakufa.
Lakini kabla sijafa nasema bila Polisi na Usalama wa Taifa kumkamata mtu anaitwa Joseph Ludovick, hawatakaa kamwe wajue kilichojificha kwenye sakata la...
Kwa kimombo tungesema! Did we mess up with wrong generation?
Jibu linaweza kuwa ndio ama hapana kulingana na mitazamo, fikra na maono! Ila kiuhalisia watoto wa mjini wanasema tumeingia cha city...
Mtu amekemea utekaji na mauwaji alafu linatokea jitu heti limeenda kumsemea kwa papa alafu watekaji na wauwaji haliwasemi hivi zimo ?
Haya mambo yanatia hasira sana wanafikiri sisi tunafanya...
Nimeipenda sana picha ya bondia Hassan Mwakinyo, ikimuonesha Simba wa vita vya haki nchini, Tundu Antiphas Lissu, na Simba mwingine wa vita vyake, Samia Suluhu Hassan.
Kwa maono ya kinabii...
https://www.facebook.com/share/v/17qxXJt2YN/
kuna video nyingi sana, huo mfano mmoja.
Msikilizeni huyu dada, anaelezea kwa kirefu kiasi gani maandamano yalivyoandaliwa na baadhi ya diaspora wa...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kauli na vitendo vya Mh. Simbachawene vinanipa matumaini kuwa huenda tatizo la police kuwa kero kwa wananchi likawa limepata ufumbuzi.
Katika kipindi...
Wametia aibu kwa kuhusika kusaport hila , kushiriki chaguzi fake sasa watageuka na kuwa NCCR Mageuzi wangeweza kabisa kuwa chama kizuri lakini waliweka njaa mbele
Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala...
Wakuu,
Jaji Chande na Tume yake wanapata wapi hii nguvu ya kuonya wakati polisi walituambia tufute video na picha zote tulizokuwanazo kwenye simu? Tulikuwa tunashushwa kwenye magari wanafanya...
Tume ya Uchunguzi imetoa wito kwa wananchi kupuuza ushawishi wowote unaolenga kuwazuia kushirikiana na tume hiyo na badala yake watoe maoni na ushauri kwa tume.
Wito huo umetolewa Desemba 26...
Ni ukweli usiopingika Dunia sasa inamuangalia Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan kama mwanamke hodari anayejiamini kiasi cha kuifananisha misimamo yake ya...
"Taifa letu limejeruhiwa na Taifa letu limepoteza heshima kutokana na yale yaliyojiri wiki ya uchaguzi mkuu.." amesema Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap.
katika homilia aliyoitoa...
Kuna picha zinasambaa Polisi wako Fukweni wanafanya Doria, kile ni kidole Serikali imejitia.
Tanzania ina akiba ya kigeni ya miezi 4-6 inayotumika kulipa madeni na kununua mahitaji ya muhimu na...
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais...
Wanabodi
Hii ni makala yangu ya Salaam zangu za Krismasi kwenye gazeti la Mwananchi.
Leo ni Sikukuu ya Krisimasi, Watanzania tunajiunga na watu wengine duniani, kuadhimisha sikukuu hii ya...
Wanaukumbi,
Kuanzia leo Jumatano, 28 Septemba
Mwananchi limeanza "series" zangu na
za waandishi wengine kuhusu Miaka
50 ya Uhuru wa Tanganyika.
Tusomeni kwa furaha.
Mohamed Said...
Rais aliyeapishwa na jeshi lililomsaidia kuiba kura, ndiye aliyetoa amri kutangazwa kwa hali ya hatari iliyopelekea mauaji ya raia zaidi ya 10,000. Ameunda tume anayoìtuma kuchunguza mauaji hayo...