Wakati wenye mamlaka wakiwa busy kuponya majeraha ya MO29, kwa kuyakanusha na kupindua taarifa za ukweli; wenye dunia yao huko duniani, hawachoki kuitafiti dunia na ku shape geopolitics kulingana...
Wakuu,
Mwaka 1974, Rais Idi Amin kupitia Tangazo la Kisheria Na. 2 la mwaka 1974 alianzisha Tume ya Uchunguzi kuhusu Watu Waliopotea nchini Uganda, ikiwa ni jitihada ya kuchunguza matukio ya...
Wana JF nafikiri wengi mnakumbuka kasha ya mchele mbovu iliyotokea miaka ya tisini.
Nasikia ndiyo iliyosababisha kifo cha mkemia mkuu wa wakati huo, nasikia kampuni iliyo husika na kashfa hiyo...
UDSM-Rais mstaafu, JK
Mzumbe-Rais wa Zanzibar mstaafu, Ali Mohamed Shein
SUA- Jaji Joseph Warioba
UDOM- Jaji mkuu mstaafu, Prof Ibrahim Juma
Ardhi University- Jaji Mohamed Chande
Muhimbili-...
Aiseeh!
1. Mungu mwenyewe anajua. Na yeye ndiye ataamua.
2. Moyo usinifanyie hivyo. Nimejikuta katika Hali ya kupatwa na simanzi nilipoiona video ya Jovin Yule kijana aliyembeba mhaini mwenzake...
Askofu Bethania Mpembwa wa Kanisa la Neema ya Kitume Tanzania, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Dar es Salaam, amesema kuwa Vijana wa kizazi cha kuanzia mwaka 2000 (Gen Z) ni...
My people,
Kumekuwa bado na mijadala ya hapa na pale kuhusiana na je Tanzania kuna amani? Na wengine wakisema hakuna haki au wanasema haki kwanza,au amani ni tunda la haki
Haki huja baada ya...
ππππ₯π π¬π ππππππ
Pwani na Dar es Salaam
Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
π Jumatatu - Desemba 29, 2025.
π°οΈ Kuanzia Saa 3 Asubuhi.
Lengo la Ziara:
1...
Mpaka sasa Mpina ameshakosa sifa ya kugombea urais.
Ushauri , Kama anaweza aende kisesa akagombee ubunge .
Ila naona wazi Chaumma wanaenda kuwa Chama kikuu cha upinzani.
GT
Sikiliza mwenyewe inasikitisha sana. Mwanaume ananaingizwa chupa hii serikali ya samia ni ya kishetani. Na hao wanaoitetea ni vichaa wasanii wana haki ya kutengwa kabisa.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, ameishauri Serikali pamoja na viongozi wa dini kuweka mifumo bora ya kuwasikiliza Vijana na kuwapa nafasi ya kutoa maoni yao...
Waheshimiwa maaskofu tumechoka na siasa zenu, tumekuja kusali hatuna Raha hatupati baraka zozote za kimungu mpaka natamani nikawashe TV nisali na mtumishi wa Mungu Mwamposa.
Kama yupo Askofu wa...
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya...
Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote, hivi mnataka siasa za aina gani?
Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu
Au mnataka siasa za misifa...
Kwa nini madikteta wengi wanakataa utawala wa sheria na haki za binadamu
Madikteta wengi hawafuati utawala wa sheria au kuheshimu haki za binadamu kwa sababu kanuni hizo zinapunguza mamlaka yao na...
Hakuna mtu anayepinga kuwa kulitokea uhalifu kipindi watu wanaukataa utawala wa Rais Samia ile oktoba 29.
Lakini swali la msingi je hawa wahalifu walikuwa na siraha za kivita? Shoot to kill...