Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Shekhe Mkuu na Mufti wa Tanzania, Dkt, Abubakar Zuber Bin Ally, amesema kuwa hakuna ukweli katika taarifa zinazosambazwa kwenye Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii zinazoashiria kuwa Wakristo...
9 Reactions
60 Replies
1K Views
Walimteka Shebby kisa kachoma picha ya Rais. Kwanza picha yenyewe aliichora yeye. Pia alichora baada ya rais kusema atatekeleza mambo Four R. Lakini baadaye akagundua Samia hatekelezi 4R kama...
5 Reactions
25 Replies
558 Views
Ndugu zangu Watanzania, Lazima tukubali ukweli ya Kuwa Askofu Gwajima siyo mwana CCM na hajawahi kuwa mwana CCM kiuhalisia. Askofu Gwajima siyo Mwenzetu na hajawahi kuwa mwenzetu hata siku moja...
3 Reactions
179 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, CCM ni dude Moja Kubwa sana, ni dude ambalo mtu binafsi na genge lako au kikundi chako cha uchumia tumbo au usaka tonge au uroho wako wa madaraka huwezi kupambana nalo...
2 Reactions
71 Replies
3K Views
Hamjambo! Katika hali ya kustaajabisha katikati ya bahari ya huzuni ya ndugu yetu Mrisho Mpoto, AKA Mjomba. Baada ya kufiwa na mkewe. Ilitarajiwa kama desturi apewe Salamu za Pole. Lakini hali...
72 Reactions
230 Replies
12K Views
Wanabodi Na leo ni kama jana mwendo wa Harusi ya Kana,nimekutana na kichupa kidogo kinaitwa Imagi!,hii kitu ni noma!nimezamisha kamoja tuu!kamenituma nishuke JF,natiririka tuu。。。 Mada ya leo ni...
19 Reactions
55 Replies
2K Views
Sina haja ya kuleta ushahidi kwa viongozi wakuu wa haya makanisa kutoa kauli za "kiuchochezi" na "taharuki" kwa taifa kuhusu haya haya masuala ya utekaji na uuaji Katibu wa TEC "amechochea" mara...
28 Reactions
86 Replies
4K Views
Maneno mazito ya askofu mpigania haki huyu anaandika: KAMA NI KWELI: Inaweza kumaanisha hivi.. Eti Kanisa Limefungwa au kufutiwa usajili. Kisa? Kiongozi wake kakosana na waliomsajili au kadaiwa...
28 Reactions
84 Replies
7K Views
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, Ubungo Dar es Salaam wamelazimika kufanya maombi pembezoni mwa Barabara ya Ubungo-Kimara baada ya kanisa hilo kufungwa. Kanisa...
11 Reactions
74 Replies
6K Views
Nawaza tu maana Chadema wanatumia mbinu za kibepari nasi tuko kwenye mbinumkakati za kijamaa Nyerere alisema Ubepari ni unyama Chadema wameenda EU na UN ghafla Mwewe zetu zimezuiwa anga za...
3 Reactions
62 Replies
3K Views
Hii ni saa 7 Mchana leo hii na hapa ni kata ya Ruaha. Umati wa Wananchi wahudhuria Mkutano wa No Reforms No Election, Shughuli zasimama kwa muda.
18 Reactions
33 Replies
2K Views
Rasmi sasa kile chadema wanahubiri CCM wameanza kuelwa ila sema tu ndiyo hivyo. Jamani mwenye wimbo wa kanyagakanyaga CCM ni waongo atupoie hapa,
6 Reactions
12 Replies
680 Views
Katika siasa, kaulimbiu na propaganda ndizo karata zinazounogesha mchezo wa uchaguzi. Kila mshindani wako anapochanga karata zake, timu yako lazime ichange karata zako. Hiki ndicho kilichotokea...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Wakati akizungumza katika Baraza la IDD EL-FITRI lilifanyika Jiji Dar es Salaam Marchi 21, 2025 Rais Samia amesema hali baadhi ya mataifa kumekuwa na migogoro na mivutano ila Tanzania emeendelea...
4 Reactions
17 Replies
359 Views
1. Zainab anahitaji Kura zenu akawatungie sheria bungeni. 2. Tafadhali Sana Wajumbe wa Pemba. Huyu ni potential anaweza kupata hata Uwaziri wa Maji. Akageuza Pemba zaidi ya Dubai Ushan'fahamu...
11 Reactions
120 Replies
7K Views
Ndugu zangu watanzania Nabubujikwa na machozi ya huzuni Leo hii ndugu yenu ukweli nimepambania saccos yetu kwa nguvu kubwa kuipamba kuwa saccos yetu ni nzuri na Haina ubadhirifu wala wizi wa...
17 Reactions
86 Replies
4K Views
  • Featured
Serikali ya Jimbo la Puntland imetoa picha na maelezo rasmi yanayowaonyesha makumi ya wapiganaji wa kigeni wa kundi la Islamic State (ISIS-Somalia) waliokamatwa wakati wa operesheni ya kupambana...
22 Reactions
157 Replies
7K Views
Balozi Liberata Mulamula amechukua fomu rasmi leo tarehe 28/6/2024 katika Ofisi za UWT, Taifa, zilizopo jijini Dodoma, kuwania kiti cha ubunge Viti Maalum katika kundi la Vyuo Vikuu katika...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Kumeanza kuchangamka leo ni gwajiboy kesho slow slow anamambo mazito ya kuteta. Sauti hizi za ndani kwa ndani ya CCM zina mchango mkubwa kwenye kushinikiza mabadiliko nchini. Ikumbukwe CCM ni...
2 Reactions
11 Replies
834 Views
Nimeangalia picha na video za Kikao cha Mwisho cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo Ikulu cha Chamwino, Dodoma. Picha na video hizo zipo ukurasa rasmi wa Ofisi ya Rais Ikulu IG. Niseme tu...
15 Reactions
253 Replies
11K Views
Back
Top Bottom