CHADEMA ikifufuka tena ndani ya hii miaka 10 kuanzia 2025- 2035 nitagawa kila ninachomiliki kwa wenye uhitaji na nitaacha kazi

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,332
Reaction score
48,941
Haijalishi wananchi wataipenda CCM au wataichukia kama wanavyoichukia sasa ila CHADEMA ndio basi tena imekufa..

Siasa ni mchezo mchafu na CHADEMA wamepigwa kijanja wamezima mazima.
Kwa miongo takribani miwili wananchi waliiona CHADEMA kama kimbilio lakini tangu October 29 masaibu waliyopitia wananchi wamejua kuwa CHADEMA imehusika kwa 100% .

Sasa hivi kwenye page za wapinzani na ma activists wakipost jambo wananchi huwashambulia tofauti na miaka ya nyuma.

CHADEMA kwaheri. CCM waache uoga wamtoe LISSU, wawape ruhusa CHADEMA kufanya mihadhara yao . Hawana madhara tena.

Ikifufuka tena ndani ya miaka hii kumi nitagawa maduka yangu 2 moja la jumla moja la retail.
Nyumba, kiwanja, gari , pikipiki na nitaacha kazi kisha kwenda kuanza upya kijijini
Never, haifufuki tena
Thread 'Hivi huko CHADEMA kuna mwenye akili timamu kweli? Vimitego vidogo vya kunasia digidigi vinawanasa'
Soma na huu Uzi chini kujua kweli CHADEMA ni takataka 👇
Hivi huko CHADEMA kuna mwenye akili timamu kweli? Vimitego vidogo vya kunasia digidigi vinawanasa
 
Ndio mnavyodanganyana veggies?
Hivi unajua kama hiko chama chenu kipo chini ya polisi?

Nyie wenyewe wanachama hamna raha, kwenye chaguzi majina yenu yamekatwa na mtu mmoja kaweka watu wake.

Kama kuna watu wanahitaji uhuru wa kweli basi nyie ndo kundi namba moja nchini..!!
 
Haijalishi wananchi wataipenda CCM au wataichukia kama wanavyoichukia sasa ila CHADEMA ndio basi tena imekufa..

Siasa ni mchezo mchafu na CHADEMA wamepigwa kijanja wamezima mazima.
Kwa miongo takribani miwili wananchi waliiona CHADEMA kama kimbilio lakini tangu October 29 masaibu waliyopitia wananchi wamejua kuwa CHADEMA imehusika kwa 100% .

Sasa hivi kwenye page za wapinzani na ma activists wakipost jambo wananchi huwashambulia tofauti na miaka ya nyuma.

CHADEMA kwaheri. CCM waache uoga wamtoe LISSU, wawape ruhusa CHADEMA kufanya mihadhara yao . Hawana madhara tena.

Ikifufuka tena ndani ya miaka hii kumi nitagawa maduka yangu 2 moja la jumla moja la retail.
Nyumba, kiwanja, gari , pikipiki na nitaacha kazi kisha kwenda kuanza upya kijijini
Never, haifufuki tena
Thread 'Hivi huko CHADEMA kuna mwenye akili timamu kweli? Vimitego vidogo vya kunasia digidigi vinawanasa'
Soma na huu Uzi chini kujua kweli CHADEMA ni takataka 👇
Hivi huko CHADEMA kuna mwenye akili timamu kweli? Vimitego vidogo vya kunasia digidigi vinawanasa
Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm, ila uhalisia umekataa kabisa. Ukitaka kujua cdm ni balaa haijashiriki upuuzi uitwao uchaguzi, haina mbunge, wala diwani lakini chama hicho kimegoma kutoka kwenye ndimi na akili za wananchi. Ccm fahamuni wakati ni ukuta, vyombo vya dola pekee ndio pumzi ndogo ya mwisho iliyobaki.
 
1773749172378.jpg
 
Haijalishi wananchi wataipenda CCM au wataichukia kama wanavyoichukia sasa ila CHADEMA ndio basi tena imekufa..

Siasa ni mchezo mchafu na CHADEMA wamepigwa kijanja wamezima mazima.
Kwa miongo takribani miwili wananchi waliiona CHADEMA kama kimbilio lakini tangu October 29 masaibu waliyopitia wananchi wamejua kuwa CHADEMA imehusika kwa 100% .

Sasa hivi kwenye page za wapinzani na ma activists wakipost jambo wananchi huwashambulia tofauti na miaka ya nyuma.

CHADEMA kwaheri. CCM waache uoga wamtoe LISSU, wawape ruhusa CHADEMA kufanya mihadhara yao . Hawana madhara tena.

Ikifufuka tena ndani ya miaka hii kumi nitagawa maduka yangu 2 moja la jumla moja la retail.
Nyumba, kiwanja, gari , pikipiki na nitaacha kazi kisha kwenda kuanza upya kijijini
Never, haifufuki tena
Thread 'Hivi huko CHADEMA kuna mwenye akili timamu kweli? Vimitego vidogo vya kunasia digidigi vinawanasa'
Soma na huu Uzi chini kujua kweli CHADEMA ni takataka 👇
Hivi huko CHADEMA kuna mwenye akili timamu kweli? Vimitego vidogo vya kunasia digidigi vinawanasa
Chadema inapigiwa promo na CCM, kila siku mavi yanagonga pichu wanaiwaza CHADEMA!

Long live Chadema!
 
Magufuli alijiapiza kuuwa Chadema badala yake akafa yeye kibwege sana kwa hisani ya wanamtandao Morogoro, huenda wewe ndiye unayefuatia
Hivi ukiambiwa utoe ushahidi wa unayosema utatoa??mnajichumia dhambi za Bure TU ..yule bwana alikufa kwa kifo cha ahadi..siku yake ilifika Wala hakuuliwa
 
Haijalishi wananchi wataipenda CCM au wataichukia kama wanavyoichukia sasa ila CHADEMA ndio basi tena imekufa..

Siasa ni mchezo mchafu na CHADEMA wamepigwa kijanja wamezima mazima.
Kwa miongo takribani miwili wananchi waliiona CHADEMA kama kimbilio lakini tangu October 29 masaibu waliyopitia wananchi wamejua kuwa CHADEMA imehusika kwa 100% .

Sasa hivi kwenye page za wapinzani na ma activists wakipost jambo wananchi huwashambulia tofauti na miaka ya nyuma.

CHADEMA kwaheri. CCM waache uoga wamtoe LISSU, wawape ruhusa CHADEMA kufanya mihadhara yao . Hawana madhara tena.

Ikifufuka tena ndani ya miaka hii kumi nitagawa maduka yangu 2 moja la jumla moja la retail.
Nyumba, kiwanja, gari , pikipiki na nitaacha kazi kisha kwenda kuanza upya kijijini
Never, haifufuki tena
Thread 'Hivi huko CHADEMA kuna mwenye akili timamu kweli? Vimitego vidogo vya kunasia digidigi vinawanasa'
Soma na huu Uzi chini kujua kweli CHADEMA ni takataka 👇
Hivi huko CHADEMA kuna mwenye akili timamu kweli? Vimitego vidogo vya kunasia digidigi vinawanasa
Mbona mnahangaika sana na chama mfu? (kwa mujibu wenu)
Kama kweli kimekufa kwa nini kinawakosesha usingizi kiasi hicho? Mmewawekea zuio mahakamani, mnataka wagawane mali kwa kesi za mchongo, mnawaua wanachama na wafuasi wao, mmemfunga mwenyekiti wao, lkn bado hamna amani mioyoni mwenu. Nani kawaroga CCM?
 
Back
Top Bottom