and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,306
- 39,849
Kama mjuavyo tunauaga mwaka 2025 kwa kishindo cha Ushindi wa 97.6%. Hivyo kama ilivyo kawaida ya Mheshimiwa kutoa Hotuba ya kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya. Je Hotuba itarushwa saa ngapi? Televisheni gani?
Je zifuatazo ndio Dondoo za hotuba?
1. Taifa Stars Kufuzu AFCON 16 Bora (pongezi kwa
Feitoto).
2. Maridhiano,
3. Katiba mpya,
4. Miradi mikubwa (mipya) ya kimkakati,
5. Punguza la Kodi kwa wafanyabiashara.
Isanga family
Pascal Mayalla
Je zifuatazo ndio Dondoo za hotuba?
1. Taifa Stars Kufuzu AFCON 16 Bora (pongezi kwa
Feitoto).
2. Maridhiano,
3. Katiba mpya,
4. Miradi mikubwa (mipya) ya kimkakati,
5. Punguza la Kodi kwa wafanyabiashara.
Isanga family
Pascal Mayalla