ACACIA: Makinia Ina Dhahabu 0.3% , Hasara Baada Kusitisha Usafirishaji BIL. 392 Kwanza Miezi 6 Tu

Yani kwa hili la makinikia CCM mmechanganya bangi na nywele za chini ya kiuno.Tulieni mkojoe upepo?

Sasa hivi mnawadai kodi zaidi ya mara 60 ya mtaji wao.Ngojeni tutawaona tu na nyie.

Simply tunataka kumfilisi na kuteka migodi yote wasilete ujinga. Huu sio wakati wa ujinga. Ni wakati wa kupiga kazi. Unazani mzigo ambao wamekuwa wakisafirisha kwa mwezi unathaman gani?!? Sit and think.
 
ACACIA walisema Dhahabu ni 0.3% tu, leo wanalia wamepoteza 80% ya their Business Tsh. 392B in 6 Months tu! Imagine17 year
Hawa ni Majambazi siyo Kampuni ya kuchimba Madini
Mkuu kwa miaka 17 wengepoteza kiasi gani vile kwa hio hio 0.3%..?
 
Hawa ACACIA mlikaa nao mezani,mka negotiate terms mpaka mka sign nao mikataba tena kwa kupiga na makofi.

Mikataba mliotengeneza sisi ndio tuliokuwa tunatakiwa tu dictate terms maana sisi ndio wenye mali..

Mlichofanya nyie wenyewe mnajua.. Leo Mwekezaji ghafla kawa mwizi..!!

Sindano imeshaingia tayari kwenye tako, sasa nesi ndio anaanza kuingiza, usitingishe ki mguu, subiri dawa/ POWER SAFE/KRISTAPENI ipenye sawasawa sasaa.
 
ACACIA walisema Dhahabu ni 0.3% tu, leo wanalia wamepoteza 80% ya their Business Tsh. 392B in 6 Months tu! Imagine17 year
Hawa ni Majambazi siyo Kampuni ya kuchimba Madini
mhuuu, uongo mwingine jaman, hv ukiwa unapoteza USD 1m kila siku baada ya miezi 6 utakuwa umepoteza 392B? We kwel mahaba na kijan yamekuzid sn, hebu tupe source ya hicho ulichoandika.
 
mhuuu, uongo mwingine jaman, hv ukiwa unapoteza USD 1m kila siku baada ya miezi 6 utakuwa umepoteza 392B? We kwel mahaba na kijan yamekuzid sn, hebu tupe source ya hicho ulichoandika.
Kwani hujui kugoogle
 
ACACIA walisema Dhahabu ni 0.3% tu, leo wanalia wamepoteza 80% ya their Business Tsh. 392B in 6 Months tu! Imagine17 year
Hawa ni Majambazi siyo Kampuni ya kuchimba Madini
Leo wamekuwa majambaz, jambaz huwa anatumia nguvu za ziada Ila Hawa jamaa sio majambaz walitumia akili na watu wenye......
Mkataba ukasainiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnawaita wezi wakati mikataba mliingia nao wenyew? can't imagine mitambo Yao itakapotaifishwa Tz itakuwaje
 
ACACIA walisema Dhahabu ni 0.3% tu, leo wanalia wamepoteza 80% ya their Business Tsh. 392B in 6 Months tu! Imagine17 year-Hawa ni Majambazi siyo Kampuni ya kuchimba Madini
Tatizo hesabu zimekupiga chenga kwahiyo ulivyoona percent ni fraction basi umeona ni ndogo kweli kweli!

FYI, sio 0.3% bali ni 0.02%... ni ndogo kuliko hiyo uliyotaja!!

Sasa turudi kwenye hesabu! Takwimu zinasema kwa mwaka wanasafirisha takribani tani 50,000 za makinikia.

Tani 50,000 = 50,000,000 kg

0.02% ya 50M = 10,000 kg za dhahabu kwa mwaka>>> Kwa miezi 6 = 5,000kg za dhahabu.

Takwimu za leo, 1kg of gold ni takribani $40,400... zidisha mara 5,000 = $202,000,000

Tukichukua exchange rate ya Sh.2000, times 202,000,000 unakuta ni zaidi ya TShs. 400 Billion halafu wewe unashangaa 392Billion!!!!!!!
 
Back
Top Bottom