Kesi ya Kupiga Waandishi Imefia Wapi?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,798
71,218
ea4b64d91b41726af90963459f8eeaca.jpg

Huyu jamaa hapo juu alikamatwa na kupokea kipigo baada ya kuvamia kikao cha CUF na kupiga watu wakiwamo waandishi.
Uchunguzi wa awali ulionyesha alitumwa na Lipumba, Kambaya na kundi lao. Pamoja na polisi kusema watamshughulikia yeye na wenzake jambo hilo linaonyesha kuwa ndio limekufa.
Jee ni kwa sababu Lipumba ni MTU wao na yote afanyayo wanamuunga mkono? Na jee kama watu wataamua wakamatapo watu wa aina hiyo kuwashughulikia wenyewe kutakuwa na lawama kwao?
 
Nakumbuka hata Kambaya alihojiwa kuhusu hili. Jee na wale waandishi waliopigwa nao wameufyata?
 
Tanzania kila mtu ni mwoga , wenye ujasiri wanahesabika. Wa kwanza Tundu Lissu, Lema CCM namfaham mmoja tu!! Bashe! Sio mapadri wala mashehe!!
 
Ndugu ingekuwa mlinzi wa Mbowe ndio kafanya hayo halafu akakiri kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma,sasa hivi ingekuwa balaa!
Hii nchi inaendeshwa kama gari bovu-Mwinyi
 
hii inchi ya WASENGEREMA cku hizi ndio maana wasukuma wapo kila idara 7bu ya USENGEREMA wao
 
hii inchi ya WASENGEREMA cku hizi ndio maana wasukuma wapo kila idara 7bu ya USENGEREMA wao
 
Wale waandishi walikuwa ni waongo na walishiriki uhalifu wa kumjeruhi huyo bwana
 
Back
Top Bottom