Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Niko kwenye ibada ya mazishi ya msiba wa jirani yangu mmoja, katika Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma (BMMH), Mbezi Beach, Dar es...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Oxford umeonesha kuwa katika nchi 13 tajiri zaidi duniani, takribani asilimia 25 ya nguvu ya uchumi hutokana na ufanisi wa kitaasisi. Hii ina maana kuwa...
4 Reactions
10 Replies
846 Views
KUIBIWA NA KUPOTEA KWA NYETI NI SYMBOLISM INAYOELEZEA HALI INAYOWEZA KUWA INAENDELEA KWENYE NCHI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Kwa Sisi wataalamu wa Lugha, Saikolojia na sosholojia...
7 Reactions
20 Replies
860 Views
Wakuu, Kuna makala nimeisoma leo kwenye gazeti la The New York Times (NYT) imenifanya nitafakari sana kuhusu hatima ya nchi yetu na uwezo wa viongozi wetu kuona mbali (vision). Makala inahusu...
2 Reactions
6 Replies
370 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema uchunguzi uliofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama umebaini kuwa taharuki iliyozuka nchini ya watu kuibiwa sehemu zao za siri ni uzushi...
2 Reactions
17 Replies
469 Views
Mbunge wa Mbeya mjini amehakikisha na kuonyesha kwa vitendo jinsi maendeleo yanavyotakiwa kusimamiwa na wabunge. Kwa kipindi kifupi alichokaa bungeni Mbeya mjini inawaka waka lami, na miundombinu...
2 Reactions
125 Replies
21K Views
  • Featured
Wakuu, Mambo magumu huko😂🤣🤣, hesabu naona kama zile ya Yanga, hata na kalkuleta bado ngoma mbichiiiii! Hivi kesi ya Lissu inaenda mpaka tarehe ngapi tena?🌚 Jamaa bado anagoma kuingia kwenye...
9 Reactions
91 Replies
3K Views
Msikilizeni ana jambo lakini anashindwa kufunguka. Akae kwa kutulia wanamtandao wasije wakapita nae. Wabunge wa CCM ni mateka wa wanamtandao hawana uhuru.wa kufanya lolote wanamaisha magumu sana.
18 Reactions
62 Replies
2K Views
Bologonja ni mpaka au geti linalounganisha hifadhi ya taifa ya Serengeti na Maasai Mara Kenya. Geti hili linawezesha mgeni kutoka Kenya Maasai Mara kuingia Serengeti kufanya game drive na kurudi...
7 Reactions
16 Replies
424 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amewataka wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu nchini na vijana kuendelea kulinda na kutetea misingi...
1 Reactions
3 Replies
225 Views
Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi. Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
2 Reactions
2 Replies
153 Views
Amepigwa pigo takatifu la Cardiovascular Accident. Ni mpwa na msaidizi wa Julius Kambarage toka miaka ya mwanzo ya nchi hii. Alikiri alichomewa nyumba yake akiwa amejificha nchini. Ambayo ni...
14 Reactions
48 Replies
2K Views
Kijana Huyo Tayari amejitokeza mitandaoni akikiri hadharani kwamba uamuzi wa Chadema wa kususia uchaguzi wa kizushi wa oktoba 29 ulikuwa sahihi. Taarifa zingine zinaeleza kwamba anayefuatia kuja...
21 Reactions
67 Replies
2K Views
Hello Ifike hatua huyu pimbi apigwe stop kutumia jina la mwalimu Nyerere analitia doa. Nyerere Angekuwa na akili za kimalayamalaya kama za Yerico nchi hii angeipiga mnada na pengine uhuru...
3 Reactions
12 Replies
265 Views
Wakuu, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Kenani Kihongosi, amewajibu wanaoshinikiza kufutwa kwa ushuru na tozo kwenye mafuta, akisema kuwa hatua hiyo ni "udanganyifu wa kisiasa" na jambo ambalo...
1 Reactions
13 Replies
370 Views
BARUA YA WAZI KWA MANGE KIMAMBI KUHUSU UVALIAJI WA HIJAB Ndugu Mange Kimambi, Assalamu Alaikum warahmatullahi wabarakatuh, Natumai uko salama na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku...
6 Reactions
58 Replies
962 Views
Israel ni taifa dogo sana sawa na mkoa wa Morogoro kila siku wanarusha ndege kwenda Iran na Wanarudi, Kila siku makombora yanaanguka kwenye miji yao lakini umeme, maji, mafuta na huduma zote za...
3 Reactions
5 Replies
320 Views
Mfanyabiashara Azim Dewji amesema Iran imewahi kuisaidia Tanzania katika nyakati ngumu, ikiwemo msaada wa meli mbili za mafuta miaka ya 70 wakati wa uhaba mkubwa. Amesisitiza kuwa urafiki wa...
4 Reactions
38 Replies
799 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…