Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Leo hii hawa ni wageni wa star tv wakiwa studio za Dar-es-salaam wakijadili siasa na muda husika inasema:"TUNAJIFUNZA NINI KWA WATAKA UONGOZI". Mjadala umeanzia studio za Mwanza kwa hivi sasa ila...
2 Reactions
222 Replies
20K Views
Huu ni mwaka wa uchaguzi kwa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama na naona mambo yanaenda kimyakimya na kistaarabu. Kwa ngazi za chini chaguzi zimeshafanyika ndio najiuliza CCM imeamua...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
  • Redirect
Wadau naomba kujuwa zile kata ambazo Ccm wamefuta uchaguzi?
0 Reactions
Replies
Views
Ni muda zaidi ya mwenzi madiwani watano kutoka Jimbo la Arumeru Mashariki wameshajiuluzu nafasi zao . Madiwani wote ambayo wamejiuzulu nafasi zao wanatoka upinzani kwenda CCM wote wametoa sababu...
7 Reactions
56 Replies
5K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhil Nkurlu amesema kamati ya ulinzi na usalama imekamilisha utaratibu wa kuwasaka wanafunzi wenye mimba ili kuchukua hatua. Aliitoa kauli hiyo juzi akiwa Kata ya Ntobo...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa (CHADEMA) na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe amefunguka na kusema ni upambavu mkubwa kutumia zaidi ya milioni mia saba kwa ajili ya kufanya marudio ya uchaguzi wa udiwani wa kata tatu...
28 Reactions
152 Replies
13K Views
  • Redirect
Kwa hali ilivyo, Mtawala wa sasa atakuwa anasumbuka mno kwenye nafsi yake namna ambavyo anaweza kuyadhibiti Mahakama ya Tanzania ili yawe na tabia za hovyo kama za Bunge la Tanzania chini ya...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hili lilishawapata madaktari wa binadamu wa hospitali za umma (serikali) hapa kwetu na nchi jirani. Kwani hawa ambao kwanza si wa umma ni mhimu kuliko hao madaktari. Isitoshe tuna wahitimu wa...
1 Reactions
Replies
Views
Hii ni wiki ya pili sasa namwona Kassimu Majaliwa kahamia Cuba; hivi ni ziara ya kikazi au mapumziko binafsi kaamua kuyachagiza tu na vishughuli vya hapa na pale....kama ni ziara ya kikazi mbona...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Redirect
Nimesikia clip ya Mheshimiwa sana Lissu. Wamesema kuwa kuwa wao kama baraza la mawakili wanafikiri kuwa kuvamiwa kwa ofisi za IMMMA advocates inatokana na kuwa wao IMMMA advocates wanawakilisha...
11 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Labda mimi sijaelewa ndugu zangu watanzania wezanangu!!serikali ya Tanzania ina mgogoro na kampuni ya ACCASIA halafu leo kampuni ya uwakili inawatetea katika kesi hii? ok najua kuwa ni biashara...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ni upuuzi kutumia matukio ya kujiengenezea halafu uyatumie kama mtaji wa kutafuta huruma za kimataifa ili kiingiza nchi kwenye machafuko. Nasema hawa hawana lolote zaidi ya agenda ya kuihujumu...
4 Reactions
Replies
Views
Ndugu Wana jamvi, habari zenu! Nikiwa natafakari kwa Imani yangu, na kuunganisha kile kinacho endelea sasa nchini, ninaona bado kuna shida sana. Nikianzia hapa, Ibilisi a.k.a Shetani, ana KAZI...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Anaandika Baraka Kimata Diwani Kata ya Kitwiru -Iringa (CHADEMA) *MANENO MACHACHE NILIYOYASEMA SIKU YA MKUTANO WA SHUKRANI NA KUTAMBULISHA MADIWANI BAADA YA CHADEMA KUSHINDA NA KUUNDA...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
RIDWAN J.KIKWETE Mtoto wa kwanza wa Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ambaye ni Muajiliwa wa IMMMA Advocates Ambayo ni miongoni mwa makampuni 22 yaliyochota pesa za EPA (B.O.T) Nauliza...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Niliwahi kujitabiria binafsi baada ya mkuu wa inchi kuchukua madaraka kuongoza Tanzania yetu inchi itapoteza mwelekeo baada ya miaka miwili ya utawala. Kweli nuona utabiri wangu unakubaliana na...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Anajenga Chama chake, Serikali ya Magufuri kupitia CCM ya Magufuri. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Waziri wa zamani wa mambo yandani Lawrence masha alipata kazi ya uwaziri baada ya mtoto wa raisi kikwete kumwambia baba yake amchague na ndo yeye aliyemfanyie recommendation, sasa siwezi jua kama...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Usaliti ujawahi mwacha msaliti salama Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom