Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Angalau East Africa tutabaki na democracy moja... Kenya. Uwezekano by 99% up to now, Mshindi unaweza ukamtabiri!
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Freeman Mbowe ataka watanzania kumuombea Rais Magufuli ili apunguze ukali wa maneno yake kwani unaligawa na kulitia hofu Taifa. Wewe unasemaje?
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Ni kwa sababu nyie wote na Kibatala mnatoka Kaskazini? Hamuoni mnazidi kuwatia hofu Watanzania. Ukabila, Ukanda wa nini? Au bado mnaamini CHADEMA ya leo ni ya Enzi za mzee MTEI? Watanzania...
2 Reactions
Replies
Views
Mrema asema miaka 15 ya mfumo wa vyama vya vingi imekuza demokrasia Ikunda Erick HabariLeo; Tuesday,October 09, 2007 @00:06 Mrema akihutubia katika mkutano. TANGU nchi ipate Uhuru wake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais Magufuli anataka viwanda ambavyo vilikuwa vya serikali vikabinafsishwa na kisha vimekufa , vitaifishwe na vifufuliwe jambo ambalo bila shaka lina nia njema. Aidha, pamoja na nia hiyo njema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwenye mjadala huu sizungumzii kama CCM "itashinda" tena mwaka 2020 bali najaribu kuona kama chama hcho kina uhalali wa kutuongoza tena kuanzia mwaka 2020 na kuendelea. Nimechagua kuzungumzia...
5 Reactions
53 Replies
5K Views
Juzi nikiwa Kibiti mkoani Pwani katika safari zangu za kutafuta mashamba nilibahatika kukutana na rafiki yangu niliekuwa nae Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), na baadae kupata ajira ya kudumu ktk...
23 Reactions
49 Replies
10K Views
  • Redirect
1 Reactions
Replies
Views
NILIPO kuwa mdogo nilipata kusikia mtu mmoja aliyeitwa ikengya kutoka kwa wenzetu wa kanda ya ziwa, hasa wahya, ikengya alikuwa mtaalamu sana wa misemo na majibu ya kalaa, mfano mmoja ninao...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Fatma karume kwa maoni yangu anafaa sana kugombea urais wa Zanzibar kupitia chadema .. Maoni yangu tuu..
6 Reactions
36 Replies
5K Views
  • Redirect
Uhuru Kenyatta alimwalika Lowassa kwenye kampeni zake za Urais nchini Kenya. Lowassa alisimama na kumuombea Uhuru Kenyatta kura, lakini alizomewa sana kwa tukio hilo. Ni jambo la aibu Sana kwa...
1 Reactions
Replies
Views
..XYZ show imetengenezwa na mchora katuni maarufu mzaliwa wa Tanzania, Godfrey Mwampembwa au GADO. ..hii ni moja kati ya episodes nyingi zilizoko mtandaoni.
18 Reactions
49 Replies
10K Views
  • Redirect
Uzi huu ni kuleta majumuisho mbali mbali toka kenya Uzuri katika uchaguzi wao hakukuwa Na vitambulisho vya kupigia kura ,Bali Mtu alienda Na national ID inawekwa kwa mashine anaweka dole gumba...
0 Reactions
Replies
Views
Wana JF, Kwenye mwanga usilete giza, hata kama ukinuna mashavu yakaota sugu lakini kusema ukweli, Rais Magufuri ni Nyota ingaayo kwa mbali kwani mwanga wake unaweza usione kama unakusaidia usiku...
13 Reactions
37 Replies
3K Views
Hivi leo huko Kenya wananchi wa Kenya wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, ikiwemo kumchagua Rais wa nchi hiyo atakayedumu kwa kipindi cha miaka 4 hadi mwaka 2021. Katika uchaguzi huo...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
  • Redirect
President kenyatta has taken an early lead of total votes counted with 904477 votes against his closest competitor Raila odinga with 656293 votes. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Rais uhuru kenyatta anaongoza kwa kura zilizohesabiwa mpaka sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
Replies
Views
Ofisi ya Taifa ya Takwimu(TBS) imeitaka Kampuni ya Geopoll yenye ofisi zake za Ukanda wa Afrika Mashariki, Nairobi nchini Kenya imewataka kufuata taratibu zilizoainishwa kwa mujibu wa sheria ya...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
  • Redirect
Hadi sasa matokeo yanavyo zidi kutolewa na IEBC nchini Kenya ni wazi kwamba rafiki yake mkubwa Magufuli kakataliwa na hii iwe ni muongozo wa matokeo ya uchaguzi wa bongo kwa 2020 In God we trust
1 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom