Je, CCM inajivua gamba kimyakimya kupitia chaguxi zake 2017?!

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Huu ni mwaka wa uchaguzi kwa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama na naona mambo yanaenda kimyakimya na kistaarabu. Kwa ngazi za chini chaguzi zimeshafanyika ndio najiuliza CCM imeamua kujivua gamba kimyakimya na kuzaliwa upya? Wakati mwingine matendo huongea zaidi kuliko maneno nawatakieni chaguzi zenye mafinikio ili 2020 team ufipa iambulie vumbi tu. Ahsante!
 
Magufuli anaunda safu yake tangu chini. Alianza kwa kupunguza idadi ya wajumne CC, NEC na mkitano mkutano Mkuu. Sasa anaengua kila anaonekana kutomuunga Mkono.
Tumeona mawaziri kama Nape wakifungashiwa virago.
Matokeo yake chama kitabaki na safu ndogo ya wanaomtii tu. Hakuna demokrasia tena kwenye chama hicho, wote wanaobakizwa ni NDIO MZEE tu.
Athari yake ni kubwa mno ikifika 2020, maana walioenguliwa wengi wanatokana na makundi ya urais ya 2015. Kutakuwa na hujuma kubwa kwenye uchaguzi Mkuu. Si ajabu CCM ikapotea kwenye ramani ya siasa za Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vyema
 
Huu ni mwaka wa uchaguzi kwa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama na naona mambo yanaenda kimyakimya na kistaarabu. Kwa ngazi za chini chaguzi zimeshafanyika ndio najiuliza CCM imeamua kujivua gamba kimyakimya na kuzaliwa upya? Wakati mwingine matendo huongea zaidi kuliko maneno nawatakieni chaguzi zenye mafinikio ili 2020 team ufipa iambulie vumbi tu. Ahsante!
CCM kwa hizi akili bado mpo ktk "ANIMAL FARM". Umeaharibu sana ktk huu ushenzi ulioandika. Kwanza unalazimisha watu waamini kuwa ccm ina plan fulani kubwa ya siri, ila ccm yenyewe km inawashwa vile kuwa na siri wanaona km hawatajulikana na wanapenda sana UFIPA wajue . Hamjiamini sana.
 
Mkuu mbona umeogopa sana!
 
Mkuu mbona umeogopa sana!
Raia wa animal farm wana sifa kubwa moja.Kupata tafsiri wrong ktk kila kitu. Umetafsiri woga,badala ya ujinga unaoufanya.Hata makinikia mlitafsiri kuja kwa boss ni kumwogopa ngosha, kumbe ni kuja kupiga stop uendawazimi usisidi kuharibu kwa kiasi mabcho hamuwezi lipa.
 
Mkuu mbona umeogopa sana!
Raia wa animal farm wana sifa kubwa moja.Kupata tafsiri wrong ktk kila kitu. Umetafsiri woga,badala ya ujinga unaoufanya.Hata makinikia mlitafsiri kuja kwa boss ni kumwogopa ngosha, kumbe ni kuja kupiga stop uendawazimi usisidi kuharibu kwa kiasi ambacho hamuwezi lipa.
 
Kadri mnavyokasirika ndivyo mnavyozidi kupotea katika ramani na kuipa mwanya ACT wazalendo, ahsante!
 
Kila kitu huwa mntafsiri wrong .Nyie uzao wa binamu nyama ya hamu.Mnaambiwa kuzaana nandugu li laana na genetically wrong, akili zenu zinawatuma kuwa mkizaana nyie kwa nyie mtamakisha urithi wa mali.Ila hamjui hata urithi wa ujinga na ulemavu mwingine.Kwa ujumla hamfundishiki. Umejuaje km hasira yetu inafaida kwa ACT na sio CUF au wengine?Umejuaje km hasira yetu haipelekea tuamue imaliza kabisa CCM? Endeleea kukojoa kitandani ukiamka utakuwa umeota funza ktk ngozi kisha ubake tena kuwa biashara kwetu.
 
Umezisikia nondo za Polepole leo?......... Mkuu Tanzania bila watukanaji inawezekana kalagabaho!
 
Ulishawahi kukutana na mtu unayemuheshimu halafu kapika chakula vibaya kikawa hakina ladha?Huwa anawakwaza sana wengine,especially wakiwa ndio wanamtegemea. Wengi watajitahidi kunyamaza kimya ili wampe nafasi ya yeye kutambua na kupotezea.Wengine watapakuwa kidogo.Kazi inakuwa pale anakuwa kapika kingi sasa analazimisha watu wale kwa kupiga kelele kuleni chakula ni kitamu, sijui kina afya, atajikuta anajiadhibu mwenyewe akijidai anaonyesha mfano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom