MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
Niliwahi kujitabiria binafsi baada ya mkuu wa inchi kuchukua madaraka kuongoza Tanzania yetu inchi itapoteza mwelekeo baada ya miaka miwili ya utawala. Kweli nuona utabiri wangu unakubaliana na kinachotokea.
Kulingana na hali inanvyo kwenda kimtazamo kiuhalisia nimeona tangu mkuu MH. Pombe aingie madarakani nchi naiona imekuwa ikienda zigzag huu ni ukweli usiopingika japo watakuwepo watetezi wasiojitambua.
NAIOMBA KAMATI KUU YA CCM KAENI KIKAO CHA DHARURA MUIJADILI HII HALI ILI KUOKOA NCHI TANZANIA ISIELEKEE INAKOELEKEA.
Hii ni kwa faida ya watanzania wote.
CCM nyie ndio mtakaobeba lawama na si vinginevyo maana nyie ndio mliokabidhiwa dhamana hii ya kuendesha serikali yetu. Kinachooonekana ni kama mwelekeo au matarajio ya wanawanchi hii umevunjika moyo na kupoteza imani mliyotunikiwa na watanzania.
Kuna matumaini yanayosikika tu na si yanayoonekana kwa maana tunayosikia ni tofauti tunayoyaona.
Hali inatisha kwa muelekeo huu... tulitegemea inchi ingekuwa kweli ni ya kuweza kusaidia nchi nyinginezo kutokana rasilimali tulizonazo kwa kauli ya mh. Pombe JM kwamba anataka kuzisaidia nchi maskini kwa kuwa nchi yetu ni tajiri!
Hali ni tofauti sasa tumekuwa ni wa kufunguliwa kesi ambazo tangu utawala wa kiongozi wa kwanza Mwl Nyerere na waliomfuatia kuongoza taifa hili sijawahi kusikia nchi ikifunguliwa kesi kubwa kiasi hiki tena kwa kipindi kifupi tu. Kwa sasa ni zaidi ya kesi zinazoelekea kufunguliwa au zimefunguliwa ni takriban 5.. na kuna uwezekano zikongezeka.
Hii ni picha mbaya sana kwa taifa maskini tajiri kuingizwa kwenye migogoro ya kutishia nchi kupoteza mwelekeo wa kiuchumi kisiasa.
USHAURI:
Japo mkuu kwa kauli yake amesema hashauriki lakini isiwe kikwazo katika kutafuta suluhu ya kuokoa nchi isipoteze mwelekeo. Wana CCM fanyeni jambo.. kaeni na mkuu MH. Pombe.JM mumshauri ..
KWANZA: Akubali KUSHAURIKA
PILI: Kusikiliza ushauri atakaopewa na kuufanyia kazi .
TATU: AKUBALI KUKOSOLEWA HI NDIO DEMOKRASIA.
NNE: Mtafute namna ya kuokoa nchi isingie kwenye madeni yasiyokuwa ya lazima.
Mfano; nikiangalia mtririko wa baadhi ya mambo aliyosimamia mkuu MH Pombe kuanzia alipokuwa waziri baadhi ya mambo aliyoyatolea maamuzi hayajaleta manufaa badala yake ni hasara kwa taifa.
Ikiwemo;
Kukamata meli ya uvuvi ya wachina matokeo mnayajua..,
Kusimamia uuzwaji wa nyumba za serikali nayo ni tatizo..,
Kutuletea kivuko kibovu mv Dar es salaam
Kuvunja mikataba bila kufata taratibu.. hili ndio kuu linalotutia hasara kubwa katika nchi yetu.
MWISHO
MPENI USHAURI WENYE KULETA TIJA NA KULIOKOA TAIFA
NA YAMPASA KUUTAFAKARI NA KUUFANYIA MAAMUZI YENYE KULETA FARAJA KWA WANANCHI.
Endapo hatakubaliana nanyi....
Najua nyinyi ndio mwisho wa maamuzi FANYENI MAAMUZI KUIOKOA NCHI ISITUMBUKIE MKIZEMBEA ''TUTARARA NANYI MBERE''
Sent using Jamii Forums mobile app