Mtoto Wa Kikwete(ridwan) Anapokea Mshahara Kutoka Epa,(zilizoporwa B.o.t)

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
433
RIDWAN J.KIKWETE Mtoto wa kwanza wa Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ambaye ni Muajiliwa wa IMMMA Advocates Ambayo ni miongoni mwa makampuni 22 yaliyochota pesa za EPA (B.O.T)
Nauliza hivi ni haki kwa mtoto wa Rais ambaye baba yake ameapa kupambana na matendo yote yaliyo kunyume na kuhujumu nchi ikiwa pamoja na ufisadi kuajiliwa na kulipwa mshahara wa fedha zilizoporwa BOT?
 
Mimi nafikiri hiyo jeuri ya kusema nina chaguo langu imetokana na jeuri ya hizo pesa ,ila tusubili tuone kama RIDWAN PROJECT itafanikiwa ..!!aelewe hizo pesa za walipa kodi ,wanyonge hazitakwenda hivi hivi,malipo ni hapa hapa..!!!
 
RIDWAN J.KIKWETE Mtoto wa kwanza wa Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ambaye ni Muajiliwa wa IMMMA Advocates Ambayo ni miongoni mwa makampuni 22 yaliyochota pesa za EPA (B.O.T)
Nauliza hivi ni haki kwa mtoto wa Rais ambaye baba yake ameapa kupambana na matendo yote yaliyo kunyume na kuhujumu nchi ikiwa pamoja na ufisadi kuajiliwa na kulipwa mshahara wa fedha zilizoporwa BOT?

Mkubwa unauhakika lakini? Ina maana angekuwa mtoto wa mlalahoi kaajiriwa pale ungeyaongea haya? Chuki uliyonayo kwa Baba yake usimbebeshe mtoto. Nakupa mfano, Kuna Mapadri na Mashekhe wangapi wanapata Vitabu vya dini kutoka kwenye michango ya majambazi ina maana na wao majambazi?
 
"Mkubwa unauhakika lakini? Ina maana angekuwa mtoto wa mlalahoi kaajiriwa pale ungeyaongea haya? Chuki uliyonayo kwa Baba yake usimbebeshe mtoto. Nakupa mfano, Kuna Mapadri na Mashekhe wangapi wanapata Vitabu vya dini kutoka kwenye michango ya majambazi ina maana na wao majambazi?"

Ndugu yangu una sense nzuri, ni kweli sio sahihi kumshutumu Ridhiwani kwa makosa ya wengine. Lakini hata hivyo ukiangalia kwa undani unaweza kuona kuwa, kuna uwezekano hizo pesa zilenda huko kwa sababu fulani, kama ingekuwa ni law firm ya walala hio isingeweza kupata hela za EPA, ukiangalia kwa undani utaona kuwa hela za EPA haziendi kwa walala hoi au watoto wa walala hio, labda wanapokea "vijisenti" wanapowasaidia
 
Please muungwana naomba utulete facts kuhusu conection kati ya Ridhiwani and EPA. Naomba ieleweke ya kwamba IMMMA advocate ni Law Firm, na law firm inabidi itafute clients ili ipate kuendesha day to day activities, so sioni umuhimu wa kuwalaumu kwamba wanausika na EPA. Sema mmoja wa Client wao ni muhusika wa EPA na sio IMMA.

So, kama una data ambazo zitaonyesha one to one correlation between EPA and Ridhiwani lete hapa then tutamkoma nyani giladi, other than that please stop poisoning apples.
 
Mkuu na wewe una mkono nn kwenye IMMMA mbona hutaki kukubali kuwa nao hawa IMMMA walichota mihela ya walalahoi hapo BoT na RIDHWAN kaajiliwa kwenye hiyo kampuni.Hata mtoto mdogo anaweza kuamini kuwa RIDHWAN ni mmojawapo wa walaji wa mshiko wa EPA kupitia IMMMA kwani hii kampuni imo katika list ya 22.
 
Mtanganyika usiwe kama MDANGANYIKA...
kila kitu kipo wazi na hiyo IMMA kushiriki ktk EPA haijakwEPA maana walishakiri kuwa walishiriki kuanzisha DEEP GREEN ambayo baada ya kusanua MAJISENTI kutoka BOT waliamua kuifilisi..... Fikiria kampuni ya uwakili kuanzisha kampuni ya kibiashara na baada ya kuitumia kwa manufaa wanaamua kuiua kisheria ili kuondoa utata wa mbeleni. ne mbeleni kwenyewe ndiyo sasa...

we mtanganyika EFATHA!
 
Deep green waliwatumia IMMA kuandaa legal document zao. Na hiyo ni kazi ya any law firm. Deep green walikuwa na choice ya kumchukua hata Mzee Maira na angewafanyia kazi. IMMA walichofanya ni kuangalia legel aspect za swala zima la mkopo. Sasa kama walimanipulate any legel facts then unaweza kusema kwamba waliusika asilimia 100. Lakini kama hakuna any manipulation kwenye legelity, then everything is valid. Hiyo ndio kazi ya law firm, iwe ni kutetea wezi au kutetea innocent people. Law firms haziko kwenye business ya kuangalia utu.
 
Mkuu na wewe una mkono nn kwenye IMMMA mbona hutaki kukubali kuwa nao hawa IMMMA walichota mihela ya walalahoi hapo BoT na RIDHWAN kaajiliwa kwenye hiyo kampuni.Hata mtoto mdogo anaweza kuamini kuwa RIDHWAN ni mmojawapo wa walaji wa mshiko wa EPA kupitia IMMMA kwani hii kampuni imo katika list ya 22.

Mkubwa kama una facts ambazo zinaweza kumuunganisha Ridhiwani na EPA nipe na mimi nitakubaliana na wewe. Ninachopinga kwa IMMA ni kusema walimuajiri Ridhiwani sababu ana academic credentials wanazozitaka wao (ambazo ni top students katika mwaka unaomaliza), i believe kabisa Ridhiwani alikuwa standard students, na sio excelent kama Masha alivyo dai.

Kuhusu swala la EPA, so far there is no connection za moja kwa moja kati ya Ridhiwani na EPA. Unless wewe mkuu Fidel utuletee ili tuanze kufanya analysis zetu. Mimi siteti uwalifu, lakini vile vile sishiki bendera ya swala ambalo halina evidence.
 
RIDWAN J.KIKWETE Mtoto wa kwanza wa Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ambaye ni Muajiliwa wa IMMMA Advocates Ambayo ni miongoni mwa makampuni 22 yaliyochota pesa za EPA (B.O.T)
Nauliza hivi ni haki kwa mtoto wa Rais ambaye baba yake ameapa kupambana na matendo yote yaliyo kunyume na kuhujumu nchi ikiwa pamoja na ufisadi kuajiliwa na kulipwa mshahara wa fedha zilizoporwa BOT?
Mkuu mleta mada kama uko hai njoo tuendelee na mjadala humu jamvini...JF AKA GOOGLE YA KITANZANIA
 
wamepiga za epa sasa wanaendelea na akashia kwa staili nyingine ya kujifanya watetezi wa wanyonge. ni tanzania pekee haya yanafanyika.
 
Back
Top Bottom