Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo. Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa...
48 Reactions
94 Replies
4K Views
Huyu mkulungwa ukiangalia hulka zake, sio mtu wa kutaka madaraka kwa nguvu, na sio mtu wa kubeza raia. Na ni wazi na dhairi kuwa CCM bado kuna watu wanataka mabadiliko. Mchizi ni kama ana...
15 Reactions
45 Replies
1K Views
Hii Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu(ICC), mbona inachukua muda mrefu sana hata kutoa taarifa ya wapi wamefikia au ni kinaendelea? Jamani tufanyieni wepesi basi kabla machungu...
17 Reactions
35 Replies
873 Views
Habari wana Jf, Naomba kufahamu ni kwanino Wanzibar wanayaita mapinduzi ya kumng'oa Mkoloni wa kiarabu ni Matukufu? Au kwa lugha nyingine "yaliyotukuka"?? Ni nini hasa kinachopelekea yaitwe...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi, leo kuna msomi mmoja Bw. Kidawi Limbu, amethibitisha pasi shaka kuwa uchaguzi wa Zanzibar wa 2015, kama usinge futwa, Maalim Seif Shariff Hamad, wa Chama cha Wananchi CUF ndie angelikuwa...
18 Reactions
140 Replies
34K Views
Wanabodi, Kwanza tazama na kusikiliza mahojiano haya kwa kituo!. Utangulizi: Somo la Historia ni somo la mambo ya kale kwa lengo la kujua yaliyotokea nyuma, kulinganisha na yanayotokea sasa, ili...
15 Reactions
101 Replies
17K Views
  • Redirect
Naomba sana ukabidhi nchi kwa mkuu wa majeshi. Ni haki yangu kumfukuza mwizi wa mamlaka.
2 Reactions
Replies
Views
Wanabodi Vyanzo vya kuaminika vimethibitisha kwa "Atheer" taarifa za kifo cha Mheshimiwa Sayyid Jamshid Al Said, Sultan wa mwisho wa Oman aliyekuwa Zanzibar, akiwa na umri wa miaka 95, baada ya...
18 Reactions
141 Replies
9K Views
Wadau, Amani Iwe Juu Yenu, Nimekua Nikifatilia Michango Mbalimbali Ndani Na Nje Ya Tanzania. Binafsi Napenda Siasa Na Harakat Zake, Kuna Kitu Kimejificha Na Hakisemwi Kuhusu Zanzibar! Jambo...
6 Reactions
58 Replies
11K Views
"Nimeona umati mkubwa wa watu waliovaa vizuri, watu ambao wana malengo, watu ambao wanajielewa". "Nikaangalia angalia kama kuna aliyevaa dera au kijora lakini sijaona". Abate Christian Temu OSB |...
17 Reactions
59 Replies
2K Views
Mwanadiplomasia mkubwa ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje Jamuhuri ya watu wa China, Wang Yi, Januari 10, 2026 alipofanya ziara Ikulu Jijini Dar es Salaam alitoa kauli ya kuonya Mataifa ya...
6 Reactions
58 Replies
1K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho...
7 Reactions
249 Replies
14K Views
Wasalam wandugu, Kuna mambo mawili yananipa shida, pia yanampa shida mkulu, Mosi, mapinduzi ya Zanzibar, kila mwaka tarehe kumi na mbili January kunafanyika sherehe ya mapinduzi ya Zanzibar...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Sheikh Baraghash bin Said,GCMG,GCTE (1837- March 26, 1888)alikuwa mfalme wa pili wa Dola ya Zanzibar kuanzia Oktoba 7,1870 mpaka March 26,1888 Baraghash atakumbukwa kuwa kiongozi mahiri...
8 Reactions
153 Replies
24K Views
Kwanza tuendelee kupeana pole kwa Msiba wa Kawawa. Leo amezikwa na apumzike kwa amani. Ila pia msiba huu umefungua baadhi ya mambo ambayo hayakupata kujulikana kabla mongoni mwake ni haya...
3 Reactions
116 Replies
19K Views
Alitumia babu mpaka MJUKUU Halafu wewe upo zako huko maporini unajiita mwana ccm, au upo zako jf hapa unafanya chawaring unajikuta kijani damu!, CCM INAWENYEWE . Nawenyewe ndio sisi 😎
15 Reactions
61 Replies
1K Views
Naam wakuu, CCM inaendelea kukusanya michango. Ghalib Said Mohamed wa GSM (zamani Home Shopping Center) na wenzake waichangia CCM Sh. Bilioni 10 za Uchaguzi. Michango inaendelea
11 Reactions
124 Replies
8K Views
Rais Karume ndio kwanza amemaza kuhutubu sherehe za Mapinduzi Zanzibar kutokea kisiwani Pemba. Kwa maoni yangu, its the best ever tangu nimekuwa nikimsikiliza Mheshimiwa huyu huko nyuma...
0 Reactions
96 Replies
11K Views
Habari! Toka jumamosi iliyopita nikiwa safarini toka Nyumbani Tanzania Kwenda Ughaibuni niliko jishikiza kimaisha as Diaspora najisikia Ndani yangu kumuombea TUNDU A. LISSU. Mimi sio mwanasiasa...
8 Reactions
3 Replies
290 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…