Makam Mwenyekiti wa Chadema Taifa John Heche wakati akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo kupitia Wasafi FM amesema walimis sana na kuisubiri siku ya leo ambayo imewapa nafasi ya kuendelea...
Wakuu,
Sasa hapo waliripoti 'anadaiwa kutoweka...', sasa wangesema afande katwekwa na watu wa Mwigulu si ndo tungesikia jamaa wametekwa! Afu jeshi la polisi linawakamata kivipi wakati ni mambo ya...
Mbunge wa Jimbo la Kivule, Jijini Dar es salaam, Ojambo Massaburi, amesema kuna changamoto ya Serikali kuwa na majina ya miradi bila ya kuwa na orodha kamili ya miradi husika, huku miradi mingi ya...
Mbunge wa Tanganyika (CCM), Seleman Kakoso amependekeza Serikali kuongeza tozo kwenye mawasiliano ya simu ili zisaidie kujenga miundombinu ya barabara.
Kakoso ametoa mapendekezo hayo leo Jumatatu...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 15, 2026 baada ya Mahakama ya rufaa kanda ya Dodoma kutengua zuio dhidi...
Mahakama ya Rufaa inatarajiwa kusoma uamuzi wa kesi ya Saidi Issa Mohamed dhidi ya CHADEMA leo Aprili 15, 2026. Chama kimesema kimepokea taarifa hiyo kutoka mahakamani na kuahidi kuujulisha umma...
Eti katoa bei za dizeli na petroli soko la dunia akijaribu kunyoosha kauli za Rais.
Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa...
Kesi ya madai ilipaswa kutupiliwa mbali kabisa haikupaswa hata kusajiliwa, tukiipa jina sahihi ni takataka ililenga watu kushindwa kufanya wajibu wao
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche...
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt.Rugemeleza Nshala akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 15, 2026 Jijini Dar es Salaam baada ya Mahakama ya rufaa kanda...
Kyela ni eneo lingine kabisa ambao hujalijua.
Acha mipango ya kijinga ya kujaribu kuwapoteza hao vijana, ukiendelea na jambo hilo kitakachokukuta usije ukamlilia Mtu.
Soma Pia: Watangazaji wa...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesisitiza umuhimu wa kutumia hazina ya maarifa na uzoefu wa mabalozi wastaafu katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania na utekelezaji...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesema kwa ukubwa wa mapito ambayo Chama hicho yameyapitia ya kuzuiwa kufanya shughuli za kisiasa kwa siku 310 na kwa majukumu ambayo yapo mbele yao...
Kama bado tuna mpango wa kuendelea na mfumo wa vyama na demokrasia kama nchi inabidi kuwa na Mahakama maalumu ya Katiba ya kudumu kama vile South Africa, Zambia na Senegal kushugulika na kesi zote...
Aprili 13, 2026, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kombo, alikutana na kuzungumza na wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma nchini Mauritius katika Chuo Kikuu cha...
Ifikie mahali mahakimu na majaji nchini mune aibu kupelekeshwa kamakondoo wa kuchinjwa. Kuna mamamuzi mengine ya kimahakama ambayo hata sisi tusio wanasheria tnaona wazi mnafanya makosa - kwa...
Mbunge wa Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Lazaro Kilian Komba akichangia hoja bungeni kuhusu hali ya Barabara jimboni hapo kutokuwa nzuri kwa muda mrefu, ameyasema hayo...
CCM inapambana kupunguza watu wanaofikiri kwa uhuru na kupalilia watu wenye uwezo finyu wa kufikiri.
CCM inapangilia kwa ustadi kuongeza watu wasio na uwezo wa kufikiri. Hii ni hasara kwa watanzania.
Jaji Hamidu Mwanga, anayesikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya...