Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
Kaka Joshua Nassari tunaamini ni kweli kuwa ushahidi unao na hata bila ya huo ushahidi, wengi wetu tumeshagundua Abracadabra ambayo ilichezwa na ambavyo haikufanikiwa kwa asilimia 100. Ila Ndugu...
0 Reactions
Replies
Views
UN report into the death of its former secretary general Dag Hammarskjöld in a 1961 plane crash in central Africa has found that there is a “significant amount of evidence” that his flight was...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Redirect
Kutokana na unyeti wa kesi hii,nashauri Chadema imuongezee ulinzi Meya huyo,na pia waandike barua polisi kuitaka pia ihakikishe yuko salama Kila mtu anajua suala hili limesumbua taifa,na muhusika...
3 Reactions
Replies
Views
Kuchelewa ni kweli tumechelewa lakini swali tunajua tunakokimbilia? Unaweza kudhani unawahi kumbe unakimbia kurudi nyuma. Kwanini? 1. Kuna viashiria vingi kuwa uchumi unaporomoka na sipendi...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Redirect
Singida. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema hakuna haja ya kuanza kuhangaika kutafuta wachunguzi kutoka nje kwa ajili ya kufuatilia wahusika wa shambulizi la Mbunge wa Singida...
5 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
kuna watu wasiojulikana wanapinga sana uchunguzi huru wa vyombo vya kimataifa tujiulize wanamaslahi gan hapo?jamani ktk hili uchunguzi huru kutoka vyombo vya kimataifa visivyoegemea poipote...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwezi Huu Wa Tisa Pekee Maiti 8 Zimeokotwa Coco Beach Zikiwa Zimefungwa Mikono na Ziko Ndani Ya Sandarusi, This Country Is Not Safe Anymore! Kila mara miili ya Watanzania inaokotwa kwenye fukwe...
11 Reactions
Replies
Views
The deputy minister for Works, Transport and Communication, Engineer Edwin Ngonyani, disclosed this in Dar es Salaam last week in a keynote address to launch the China-Tanzania cyber media round...
3 Reactions
75 Replies
7K Views
Juni 27, 1966, Waziri wa Tawala za Mikoa, Oscar Kambona aliteremka Uwanja wa Ndege wa D'Salaam akakuta umati umefurika kumpokea. Barabara ya Pugu Road (sasa inaitwa Nyerere Road) ilijaa watu...
23 Reactions
147 Replies
14K Views
Baadhi ya wasomi ni wajinga kabisa na wapumbavu Mohamed Ali Mwansasu, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Tanzania amesema maneno hayo ''makali'' baada ya kufuatilia juhudi kubwa nzuri za Mh. Rais Dr...
2 Reactions
41 Replies
8K Views
EL amesema hayo mwanza alipokua mgeni rasmi kuchangia kanisa katoliki, kukosekana kwa ajira kwa vijana ni bomu linalotarajia kulipuka wakati wowote hivyo kusababisha vita nchini. Kuna vijana 2.5m...
12 Reactions
305 Replies
31K Views
Kwa pamoja tuangalie muundo wa chama cha ACT-wazalendo kwa kutegemea katiba ya Chama; Tuanze na Ibara ya 29 ya Katiba, Ibara ndogo ya 1 na 2, hizi ndizo Ibara zilizotoa mchanganuo wa uongozi wa...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
  • Redirect
Kwanini hataki wapelelezi huru?
1 Reactions
Replies
Views
Ndugu watanzania wenzangu naomba kwa heshima na tadhima mnisaidie kunijibu swali langu ambalo nimekuwa nikijiuliza kichwani kwangu bila mafanikio. Swali lenyewe linauliza hivi swali la kwanza je...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Katika maisha kila jambo lina nafasi na majira yake.Ikifika mahali ukajiona unathamini kazi unayofanya kuliko watu tambua maisha yamekuelemea, na ukiona unatamani ustawi wa vitu kuliko ustawi wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeona niliweke hili wazi . .Huu kchezo wa unaofanywa na maafisa utumishi unalenga kuwachafulia watu wa baraza ili waonekane wamefanya kazi ya kuhakiki vyeti vibaya na hawakuwa makini. Katika...
24 Reactions
84 Replies
12K Views
  • Redirect
Katiba ya jamhuri ya muungano imeandikwa,na sheria ,na kanuni zake zinathibitisha bila Shaka Kuwa tanzania ni nchi ya kidemkrasia inayofuata mfumo wa vyama vyingi vya siasa Sheria zinakataza...
0 Reactions
Replies
Views
Hii ni kutokana na kupanda thamani ya shares za Acacia na Petra jioni hii LSE. Acacia is up by over 2%. Petra is up by over 5%.
0 Reactions
24 Replies
2K Views
  • Redirect
Katika gazeti la Tanzania Daima Jumapili Januari 30,2011 mwaka 2010 iliandikwa makala ambayo pamoja na mambo mengine ni Tamko la Waziri Mkuu mstaafu mheshimiwa Edward Lowassa kuhusu tatizo sugu la...
0 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…