Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Nimetafakari kwa umakini sana hii kauli ya Rais wetu John Pombe Magufuli. Siku aliyokuwa akipokea Report ya Pili ya Makinikia pale Ikulu. Alimpongeza Spika wa bunge kwa kuwafukuza waropokaji...
19 Reactions
51 Replies
6K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imewakaribisha wabunge wawili wa Chadema, Joshua Nassari na Godbless Lema katika ofisi hizo ili wakabidhi taarifa na ushahidi wa tuhuma za...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Redirect
Naona Nape akiwa na Mvuto Mkubwa sana wa Kisiasa! Hata kama CCM wakimzingua, Wakimuundia Mizengwe! Au hata Wakimsaliti kugombea Kiti chake 2020 Atulie Asiondoke CCM na Wala asijibizane na Mtu...
1 Reactions
Replies
Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani azungumzia yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya. Msikilize hapa akiwa katika mahojiano na mwandishi wa Gazeti la Raia Tanzania.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tutakwenda kumuona Mkurugenzi wa Takukuru na kumpa ushahidi wa biashara mpya haramu ya madiwani. ====== Arusha. Wabunge wa Chadema, Godbless Lema na Joshua Nassari wamesema watapeleka kwa...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
  • Redirect
Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye amefunguka na kusema kuna tofauti kubwa sana kati ya watu wanaoishi Dar es Salaam na watu ambao wanaishi katika vijiji mbalimbali na kusema watu wanaopiga kelele...
1 Reactions
Replies
Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Ndugu Maxence Melo mapema leo alifanyiwa mahojiano na kituo cha redio cha E-FM kupitia kipindi cha Joto la Asubuhi. Kupindi hicho Maxence Melo amesema kuwa...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Kesi Na. 158/2016 iliyokuwa inamhusu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh. Salum Mwalimu na wenzake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bariadi imetupiliwa mbali, hivyo washtakiwa wote wako huru. Haki...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Hakika tuna njaa njaa. Gazeti la mwananchi limeandika, Baadhi ya wabunge waitaka Acacia ilipe angalau trilioni 35 kama kishika uchumba kabla ya mazungumzo ili kuongeza...
5 Reactions
122 Replies
13K Views
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk Augustine Mahiga ameuelezea Umoja wa Mataifa (UN), maendeleo ya kiuchumi ya Tanzania na kubainisha kuwa nchi imejiwekea malengo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Tanzania ni moja kati ya nchi ambazo zina majaji wanawake waliobobea kwenye fani ya sheria na wameonyesha uwezo mkubwa katika kufanya maamuzi. Kwa ajili hiyo hata dunia ilimwona jaji Mama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sijamsikia muda mrefu huyu mzee wala ule ukaribu sanaaa na Chama siuoni tena. Naomba kujuzwa wazee wa Lumumba ni kweli bado katibu mkuu na kama bado katibu mkuu anafanyia wapi kazi zake au...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni ajabu sana watu wanahangaika kuiba au kushawishi diwani mmoja tu,wanaacha kuruhusu mikutano ya kisiasa ili wawavune wale maelfu waliompigia kura huyo DIWANI.... Na pia ni ajabu sana kumtuma...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Vurugu zimeibuka katika uchaguzi wa marudio wa kumpata mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM (UVCCM) Wilaya ya Nyamgana baada ya wajumbe kutoka Kata ya Mahina kuzuiwa kuingia...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Manji: Nimejiuzulu klabu ya Yanga kwa sababu ya dawa za kulevya na niliandika barua kwa DC Temeke kuachia udiwani ================ MAHAKAMANI: Dakika 215 za Yusuf Manji kujitetea kesi ya Dawa...
8 Reactions
65 Replies
11K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, kimezifuta barua walizoandikiwa madiwani sita wa Halmashauri ya Moshi, wakitakiwa kujieleza kwa usaliti. Mbali na kufuta barua...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kampuni ya MINOLACS ya Burundi imeahidi kuendelea kuitumia Bandari ya Dar es Salaam baada ya kuridhika na ufanisi wa hali ya juu wa kuhudumia shehena ya ngano Tani 12,000 za kampuni hiyo hivi...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Shukurani nyingi sana kwa serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, hasa uongozi wa awamu ya nne, kwa ujenzi wa chuo kikuu cha Dodoma; chuo kikubwa A. Mashariki na kati. Chuo hiki kimetusaidia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom