Mikutano ya kisiasa inakwamisha vipi maendeleo?

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Ndugu watanzania wenzangu naomba kwa heshima na tadhima mnisaidie kunijibu swali langu ambalo nimekuwa nikijiuliza kichwani kwangu bila mafanikio.

Swali lenyewe linauliza hivi swali la kwanza je, mikutano ya kisiasa inakwamisha vipi maendeleo ya viwanda?

Swali la pili, je,chadema wakifanya mkutano wao uwanja wa jangwani,mkutano wa kisiasa je mkutano wa chadema utakamwisha vipi maendeleo ya viwanda?
 
Ndugu watanzania wenzangu naomba kwa heshima na tadhima mnisaidie kunijibu swali langu ambalo nimekuwa nikijiuliza kichwani kwangu bila mafanikio

Muulize faru john aseme akujibu
 
Wakikutana viwanda vilivyojengwa vyote vinabomoka.Mkuu akiona hata Bendera anachanganyikiwa hivyo kushindwa kusaini check
 
Mikutano ya siasa haswa kutoka kwa wanasiasa mahili ni lecture tosha kwa wananchi. Inawafumbua macho, inawaonesha ukweli na kuutofautisha na uwongo.
Yule mfalme amezoea kuishi kwa uwongo hivyo mikutano inamvua nguo na kuyaanika madhaifu yake ambayo ni mengi mno
 
Ndugu watanzania wenzangu naomba kwa heshima na tadhima mnisaidie kunijibu swali langu ambalo nimekuwa nikijiuliza kichwani kwangu bila mafanikio
Swali lenyewe linauliza hivi swali la kwanza je, mikutano ya kisiasa inakwamisha vipi maendeleo ya viwanda?
Swali la pili, je,chadema wakifanya mkutano wao uwanja wa jangwani,mkutano wa kisiasa je mkutano wa chadema utakamwisha vipi maendeleo ya viwanda?
CCM inamwogopa Lowasa.
 
Sukari ilikua 5,000 Aseeee hapo lazima azuie mikutano
 
Ndugu watanzania wenzangu naomba kwa heshima na tadhima mnisaidie kunijibu swali langu ambalo nimekuwa nikijiuliza kichwani kwangu bila mafanikio
Swali lenyewe linauliza hivi swali la kwanza je, mikutano ya kisiasa inakwamisha vipi maendeleo ya viwanda?
Swali la pili, je,chadema wakifanya mkutano wao uwanja wa jangwani,mkutano wa kisiasa je mkutano wa chadema utakamwisha vipi maendeleo ya viwanda?
Mkuu mbona ubsuluza maswali ya kitoto? Maendeleo ni kulima ndugu yangu, si porojo. Maendeleo ni kazi Viwanda ni asubuhi kazi hadi jioni uko kazini.

Mikutano ya CHADEMA unayouluza wewe ni mgeni nchi hii? Huijui Chadema? Wao wanataka mikutano isiyo kikomo. Ya nini? Ya kutoa matusi kwa Rais, yanatoka leo kwa Halima Mdee au kwa Lisu au kwa Mchungaji Msigwa. Ni uchochezi mtupu, watu wadharau serksli halali.

Mikutano ya Chadema itatuletea nini? Si ni ukupoteza muda wa kulima, wa kufanya kazi, muda wa kuwandani. CHADEMA pia wanataka Bunge live, sasa kazi utafanya saa ngapi na Tv live uangalie saa ngapi?

Nyerere alisema: UHURU NA KAZI. Uhuru wa CHADEMA ni wa kumtukana Rais, kumtukaba Mkuu wa Mkoa, kutukana vyombo vya usalama. Siku hizi wanaenda hadi Nairobi kututukana zaidi, kuitukana Muhimbili, ba kumtukana Rais.

Uhuru wa nne wanataka kuiba nyaraka za serkali na kuwapa maadui wakachukua bombardier ndege yetu. Uhuru huo wa CHADEMA hatuutaki.
 
Katiba inasema nini?
 
kuna multiplication effect kubwa imekuwa cutoff kwa kuzuia mikutano ya siasa. muangalie muuza maji, juisi, JoJo, Karanga, sigara na pipi. hata wote walikuwa wanapata buying audience kutoka mikutano ya siasa. Leo haipo that's means wamepunguza buying audience na hivyo kupunguza mauzo na faida. kama kila kitu tutakiangalia kwa jicho la siasa basi tutaendelea kulalamika kuhusu maendeleo kama anavyolalamika jpjm.
 
Mkuu mbona ubsuluza maswali ya kitoto? Maendeleo ni kulima ndugu yangu, si porojo. Maendeleo ni kazi Viwanda ni asubuhi kazi hadi jioni uko kazini.

Mikutano ya CHADEMA unayouluza wewe ni mgeni nchi hii? Huijui Chadema? Wao wanataka mikutano isiyo kikomo. Ya nini? Ya kutoa matusi kwa Rais, yanatoka leo kwa Halima Mdee au kwa Lisu au kwa Mchungaji Msigwa. Ni uchochezi mtupu, watu wadharau serksli halali.

Mikutano ya Chadema itatuletea nini? Si ni ukupoteza muda wa kulima, wa kufanya kazi, muda wa kuwandani. CHADEMA pia wanataka Bunge live, sasa kazi utafanya saa ngapi na Tv live uangalie saa ngapi?

Nyerere alisema: UHURU NA KAZI. Uhuru wa CHADEMA ni wa kumtukana Rais, kumtukaba Mkuu wa Mkoa, kutukana vyombo vya usalama. Siku hizi wanaenda hadi Nairobi kututukana zaidi, kuitukana Muhimbili, ba kumtukana Rais.

Uhuru wa nne wanataka kuiba nyaraka za serkali na kuwapa maadui wakachukua bombardier ndege yetu. Uhuru huo wa CHADEMA hatuutaki.
Umeishia la ngapi!?
 
Haikwamishi maendeleo.Inaongeza uelewa wa wananchi.Ila inahatarisha uendeleo wa chama tawala kuendelea kushika hatamu.
 
Mkuu mbona ubsuluza maswali ya kitoto? Maendeleo ni kulima ndugu yangu, si porojo. Maendeleo ni kazi Viwanda ni asubuhi kazi hadi jioni uko kazini.

Mikutano ya CHADEMA unayouluza wewe ni mgeni nchi hii? Huijui Chadema? Wao wanataka mikutano isiyo kikomo. Ya nini? Ya kutoa matusi kwa Rais, yanatoka leo kwa Halima Mdee au kwa Lisu au kwa Mchungaji Msigwa. Ni uchochezi mtupu, watu wadharau serksli halali.

Mikutano ya Chadema itatuletea nini? Si ni ukupoteza muda wa kulima, wa kufanya kazi, muda wa kuwandani. CHADEMA pia wanataka Bunge live, sasa kazi utafanya saa ngapi na Tv live uangalie saa ngapi?

Nyerere alisema: UHURU NA KAZI. Uhuru wa CHADEMA ni wa kumtukana Rais, kumtukaba Mkuu wa Mkoa, kutukana vyombo vya usalama. Siku hizi wanaenda hadi Nairobi kututukana zaidi, kuitukana Muhimbili, ba kumtukana Rais.

Uhuru wa nne wanataka kuiba nyaraka za serkali na kuwapa maadui wakachukua bombardier ndege yetu. Uhuru huo wa CHADEMA hatuutaki.
Ungesoma kwanza katiba inasemaje.
Pili mbona upande mmoja wanaruhusiwa ila upande mwingine wanaminywa?Ubaguzi ama?
 
Back
Top Bottom