Warioba aliwahi kusema CCM waipe Tanganyika mamlaka yake Kabla watu hawajaidai.
Maandamano yote yajayo yanakuja na hoja ya "Free Tanganyika".
Sasa imagine Rais kutoka Zanzibar unawazuiaje...
Tanzania imeendelea kujipambanua kama moja ya nchi zenye utajiri mkubwa wa gesi barani Afrika, ikiwa inamiliki takribani asilimia 10 ya gesi yote iliyogunduliwa katika bara hilo.
Takwimu hizo...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewasilisha orodha ya mambo saba muhimu anayoyachukulia kama msingi wa mustakabali wa demokrasia na utawala wa sheria...
Mtu Ambaye hata ndani ya chama chake alikatwa n.a. akakubali na kunyamaza, anajua nini kuhusu Mauaji ambayo yalielekezwa n.a. Watawala?
Ni kweli kwamba Othman Chande amepewa Majina ya wanaotakiwa...
Imekuwa jambo la kawaida kwa jamii yetu hasa za waswahili kuweka picha za faragha za wenzi wao au rafiki zao kwa nia ya kuwakomoa. HII SI SAWA HATA KIDOGO! Tumeona akina Mwijaku, na wengineo wenye...
toa mwongozo na ufafanuzi kuhusu taratibu za bunge na mahusiano kati ya Kamati za Bunge na taarifa za CAG. Hapa kuna nukuu muhimu kutoka kwenye video hiyo;
"Wakati wa jioni Bunge lilipokuwa...
Taswira kubwa ambayo naiona hapa ni namna gani tunaiambia dunia kwamba tuna uwezo wa kushughulikia changamoto zetu na kuzipatia ufumbuzi.
Jaji Mkuu Mstaafu Wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma...
Akiwasilisha Makadirio ya mapato na Matumizi ya Wizara kwa mwaka 2026/2027 Bungeni Dododma leo Aprili 22, 2026, Waziri wa Nishati nchini, Deogratius John Ndejembi amesema;
"Kutokana na hatua...
Waziri wa Nishati, Deogratus Ndejembi leo Aprili 22, 2026 amewasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma, ambapo ameomba jumla ya tsh trilioni...
Nadhani ujinga wa watanzania upo kwenye akili. Sijawahi kuona watu wakichunguza majawabu
Kwenye historia ya Tanzania, Samia aandikwe kwa red pen
Vijana waliandamana ili kupaza sauti baada ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Rafiki wa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Kamala Harris Ameweka Wazi nia yake ya kufikiria Uamuzi Wa Kugombea Urais wa Marekani Mwaka...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kyela, Victoria Swebe, ametoa tamko kali dhidi ya kile alichokiita "siasa za mateso" na kesi za kutengenezewa, huku akitaka...
Mbunge Viti Maalumu, Zainab: siyo kila biashara inahitaji mtaji, zingine wazo tu, kama kuwa MC unahigaji mtaji gani?
Kama vijana watapatiwa uwezo wa kutumia mitandao ya kijamii vizuri, wataweza...
Katika kuonesha ari ya kupokea kijiti cha baba yake na kuendelea kuwatumikia wananchi wa jimbo la Isimani, mtoto wa marehemu William Lukuvi (Brenda Lukuvi) anatarajia kuchukua fomu ya kuwatumikia...
Nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi kuhusu nafasi ya Chadema katika maandamano yaliyoacha athari mbaya kwa jamii. Kinachonitatiza ni kauli zinazoeleza kuwa chama hicho au viongozi wake...
FEDHA ZA MUUNGANO ZITUMIKE KUKARABATI MIUNDOMBINU YA BARABARA
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza...
WAZIRI MKUU ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA KITIMWENDO HELENA JOSEPH
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Aprili 20, 2026) amemkabidhi kitimwendo Helena Joseph Mwandu (mwenye mahitaji maalum)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.