Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,557
- 31,968
Amekuja gundua kwa kuchelewa sana. Huyu Msigwa alitembezwa sehemu nyingi za nchi kabebeshwa picha. Kama falah, taahira na msukule. Sasa anashtuka.
Too late. Na simu zake hawapokei. Hana issue tena kwa sasa. Siyo deal. Ameshadharaulika hana mbele wala nyuma.
Too late. Na simu zake hawapokei. Hana issue tena kwa sasa. Siyo deal. Ameshadharaulika hana mbele wala nyuma.