Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema mwaka 2025, Tanzania ilikabiliwa na vurugu wakati wa uchaguzi ambazo hazijawahi kutokea tangu nchi...
1 Reactions
9 Replies
391 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, ameeleza kuwa diplomasia ya Tanzania imepita katika mtihani mzito zaidi tangu uhuru kufuatia matukio ya...
-5 Reactions
25 Replies
665 Views
Africa sijui tutakuja kuamka lini aisee Unaona viongozi wanapambana sana na Internet linapofika suala la mambo ya msingi mustakabali wa maisha yetu na kutaka haki na utawala bora. Ukweli ni...
5 Reactions
8 Replies
269 Views
Soma pia: Museveni Vs Bobi Wine: Uzi Maalum wa kinachoendelea kwenye Uchaguzi Mkuu nchini Uganda 2026
3 Reactions
23 Replies
699 Views
Akiongea katika Kituo cha Hija cha Pugu Jimbo Kuu la Dar es Salaam Baba Askofu Ruwaich amewasisitiza wakatoliki kubaki kuwa wakatoliki. Amesema tusiwe wakatoliki wa vijora na kuhongwa. Awali...
31 Reactions
141 Replies
3K Views
Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea...
40 Reactions
323 Replies
65K Views
https://www.youtube.com/watch?v=Vb7IeyvxrtE Mzee wetu Mohamed Said ameeleza historia ya chimbuko la BAKWATA. Amesimulia kwa kina mchakato wa kuivunja East African Muslim Society na kuanzisha...
3 Reactions
5 Replies
253 Views
GT Hakuna asiyejua contents creator wengi wa Tanzania ni propaganda machines za CCM . Hivi wanaombewa 2B kwa lipi kwanza. Hivi hili taifa halina vipaumbele hadi tunaenda kwenye biashara za watu...
1 Reactions
13 Replies
264 Views
https://www.youtube.com/watch?v=smcyAJSocyA Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewahutubia Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa katika Mkutano wa Sherry Party uliofanyika Ikulu ya Chamwino...
1 Reactions
22 Replies
998 Views
Inachosha kusikia kila siku "Mabeberu ndio wanatuvuruga," "Mabeberu ndio chanzo cha vita Afrika na Asia." Hivi hamchoki na huu upuuzi? Hamuoni aibu? Hebu tumia akili yako kidogo (kama unayo)...
4 Reactions
7 Replies
233 Views
12 January 2026 Baraza la Wawakilishi laongeza muda wa mkataba wa AGOA Januari 12, 2026 WASHINGTON, DC – Baraza la Wawakilishi limepiga kura ya kuendelea na programu za biashara za pande mbili...
1 Reactions
8 Replies
276 Views
Ufuatiliaji wangu mdogo wa masuala ya kisiasa, umenifanya nifahamu kuwa asilimia tisini na tisa nukta tisa tisa (99.99%) ya machafuko ya kisiasa na kijamii kwenye nchi zote duniani, husababishwa...
2 Reactions
1 Replies
184 Views
John Mnyika akiwa ni mbunge na Anna Makinda Spika wa bunge, kuliendeshwa mjadala wa ama ni sahihi wakuu wa Wilaya na mikoa kuwa mamlaka ya nidhamu Kwa mahakimu au si sahihi. Mjadala ule...
25 Reactions
38 Replies
1K Views
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais...
6 Reactions
30 Replies
993 Views
Bilionea wa Mchongo yupo Kyela kutafuta ajira ya Ubunge kwa Mshahara wa 18m. #Kijana Stuka#
11 Reactions
31 Replies
2K Views
Wadau wa JamiiForums, Nimekaa nimefikiri, nimegundua kuwa Waafrika, na hasa sisi Wabongo, tuna ugonjwa mmoja hatari sana: Ulemavu wa Fikra. Tunajisifia tuna rasilimali, tuna dhahabu, tuna almasi...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Bora Waganda wametangaziwa kuzimiwa internet, sisi tulikuta tupo korokoroni, wakawaua watoto zetu kama nzige wakachimba mashimo wakawafukia kama takataka. Waganda wamezimiwa huku wakiwa na...
0 Reactions
1 Replies
153 Views
  • Redirect
Nianze kwa kuwapa pongezi nyingi sana DW Africa. Kazi waliyoifanya ya kuripoti mauaji ya Samia na askari wake ni muhimu sana katika safari ya upatikanaji wa haki na uwajibishwaji wa wote...
14 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom