Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanza siku ya Jumanne Januari 13 hadi ljumaa ya Januari 23, 2026 katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. Hivyo wanapaswa...
Hata nikiwekewa kisu na bastola za Police CCM kutaka kuniuwa, bado nitasimamia ukweli wangu kwamba, siitaki ccm maisha yangu yote yaliyobaki
CCM wamekataliwa duniani na sasa ni Mungu kuudhirisha...
Tungekuwa na strong National intelligence kama USA au UK, Samia hasingekalia icho kiti,, SSH amegeuka kuwa adui wa taifa, amelitia aibu taifa, amelivuruga,amelibananga, amelitindinganya taifa...
Baadhi ya wananchi mkoani Arusha wameieleza Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 changamoto mbalimbali walizokumbana nazo wakati na baada ya vurugu na maandamano yaliyotokea siku hiyo...
Wakristo na Waislamu wema wanaojitambua, Haya so called maandano ya jana, ni ushenzi mkubwa. Ni udini wa kiliangamiza taifa!
Hawa ni wa dini ileeeee! Ni wachache wao na si wote.
Tuwe na umoja...
Friends and Our Enemies,
Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wao Ruwaichi limeingia kwenye vita kali ya maneno na majibizano na waumini wake mara baada ya waumini hao kuandaa maandiko na kuyapeleka...
Wanabodi,
Katika zoezi la kusaka vyeti bandia linaloendelea sasa, kuna watu wanashindwa kutofautisha kati ya vyeti bandia na vyeti halisi, halali na vya kweli, na pia kushindwa kutofautisha...
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗢 𝗔𝗧𝗘𝗠𝗕𝗘𝗟𝗘𝗔 𝗠𝗔𝗢𝗡𝗘𝗦𝗛𝗢 𝗬𝗔 𝟭𝟮 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗬𝗔 𝗕𝗜𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗭𝗔𝗡𝗭𝗜𝗕𝗔𝗥 (𝗭𝗜𝗧𝗙 𝟮𝟬𝟮𝟲)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea...
Baadhi ya wananchi mkoani Arusha wameieleza Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 changamoto mbalimbali walizokumbana nazo wakati na baada ya vurugu na maandamano yaliyotokea siku hiyo...
Tumsifu Yesu Kristu viongozi wangu,
Naandika makala hii nikiwa nawakilisha kundi kubwa la waumini wa kanisa katoliki ambao tumechoka kuona kanisa letu linadhalilishwa na kufanywa kama eneo la...
Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania...
Anaandika Askofu Bagonza (PhD)
"POLISI NA “WAKATOLIKI”
1. Nalazimika kuwapongeza Polisi wetu kwa ukomavu wao na ustaarabu wa kutozuia maandamano ya “Wakatoliki” walioenda kueleza hisia zao kwa...
Alipoapishwa kuwa Rais baada ya mtangulizi wake kufariki, Samia alikuwa anakuja sana Marekani.
Alijipendekeza kwa Kamala Harris, mpaka wakafanya ka press conference, na baadaye Kamala...
Wanaodai kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki, leo Januari 5, 2026 wamefika katika Ubalozi wa Vatican kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Jude...
Hili suala lililotokea leo linaliabisha taifa unafikiri mabalozi na nchi duniani zinatuona tuna akili timamu kweli ?
Hawa wapumbavu walioandamana leo niwaambie kile mtu anajua kuwa ni maigizo...
Wakati Wa Mkutano Na Waandishi Wa Habari Wa Wanaharakati Huru Joseph Yona,pamoja Na Ahmed Kombo ,Joseph Yona Ametumia Nafasi Hiyo Kuipongeza Timu Ya Taifa Ya Tanzania Taifa Stars Kwa Kufuzu Hatua...
Watakapokuja Wakatoliki halisi wanaojua kusoma na kuvaa kwa heshima mbele ya Balozi wa Papa, wakasoma tamko lao kuwataka Polisi wamkamate aliyempiga Fr. Kitima, na wamlete aliyeteka mapadre na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.