Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Asilimia 77.4 ya deni la nje la Tanzania linashikiliwa na Central government, ikimaanisha kuwa serikali ndiyo mkopaji mkuu. Hii inaashiria utegemezi mkubwa wa mikopo ya kimataifa kwa ajili ya...
4 Reactions
59 Replies
3K Views
Sheikh Yahya Banju ametoa mifano akielezea namna madai ya Baraza kuu la Waislamu BAKWATA kudhulumu na kupora mali za waislamu. Banju amesema hayo leo walipokutana na waandishi wa habari Kinondoni...
0 Reactions
2 Replies
193 Views
Kwa akili zao kabisa wanaamini wanaweza pambana na Kanisa Katoliki lililoweza kupambana na Madikteta hatari zaidi duniani kama Adolf Hitler wa Ujerumani na Fujimori wa Chile na kuwashinda...
6 Reactions
19 Replies
403 Views
Kamwe hatuwezi kusahau maumivu tuliyopata terehe 29 wakati wa uchaguzi.maumivu ya kuuawa ndugu zetu kinyama na waTanzania wenzetu wachache ambao ni watawala...
3 Reactions
8 Replies
153 Views
Ndugu zangu Watanzania! Mvua ya Haki na Amani toka kwa Mungu wa Mbinguni iwe nanyi! Ashukuriwe Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka mpya. Kwani siyo jambo rahisi kwetu sisi Watanzania tuliobaki...
1 Reactions
0 Replies
364 Views
My people, Huyu ni mwandishi wa habari na mwanaharakati wa Iran ambaye naye kama alivyo Kimambi anaishi Marekani Akihojiwa na NBC News anasema familia nyingi za viongozi wakubwa wa Iran wanaishi...
4 Reactions
10 Replies
375 Views
  • Redirect
Moscow ‍is ‍deeply concerned and condemned an “act of armed aggression” against ⁠Venezuela committed by the US, the Russian ‍Ministry of Foreign Affairs said. “In the current situation, ‍it ⁠is...
0 Reactions
Replies
Views
  • Closed
Picha mbili ikionesha Chadema ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era.
1 Reactions
60 Replies
576 Views
Huyu mtu mtoto wa Rais Samia yupo wapi? Hasikiki kabisa. Yaliyoko kwenye korido za wanausalama wazalendo ni kwamba mratibu Mkuu wa matukio ya mauaji ya MO29 ni huyu mtu. Ndiye aliyekuwa...
15 Reactions
48 Replies
4K Views
Ukimsikiliza vizuri askofu uchwara wa kujipachika Josephat Gwajima, unashangaa. SIku hizi, amendandia hoja iliyotaka kumzamisha ya utekaji. Anasema hapendi utekaji kana kwamba kuna mtu mwenye...
4 Reactions
15 Replies
331 Views
Kuna lolote kinaendelea ICC au ndiyo imetoka hiyo! Mwenye fununu atufunulie
2 Reactions
4 Replies
223 Views
  • Redirect
Rais wa Marekani, Donald Trump amedai Taifa hilo limefanya shambulio kubwa Nchini Venezuela na kuwakamata Rais wake, Nicolas Maduro, na mkewe na kusafirishwa kwa ndege kutoka nchini humo Kupitia...
1 Reactions
Replies
Views
Yulo wapi? Alibeba mapicha ya Samia, wakamshikisha mapicha. Yuko wapo? Kafia wapi? Au teuzi zijazo atakumnukwa? Nani ampishe?
3 Reactions
13 Replies
317 Views
Huyu jamaa kateka, kaua na kapoteza watu wengi sana nchini lakini Wala haguswi na mkono wowote wa Sheria za nchi. Hivi Jaji Chande na Tume yake uchwara alikutana na mtu kama huyu anaweza kuwa na...
7 Reactions
22 Replies
553 Views
Serikali ya CCM bado aijawa tayari na aitaki kuukubali ukweli bado imekaa kipropaganda siasa za uongo kuadaa watu Hayo maridhiano yao wanayoyasema ni ya kiini macho kutaka maokoto ya wazungu...
2 Reactions
25 Replies
413 Views
YAH: MALALAMIKO RASMI DHIDI YA KAULI NA UTARATIBU WA ASKOFU MKUU YUDA THADDEUS RUWA’ICHI WA JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM KWA: BALOZI WA PAPA (APOSTOLIC NUNCIO), DAR ES SALAAM. Mpendwa Baba...
2 Reactions
300 Replies
5K Views
Kwa ukimya huu ndio naamini Cheo ni koti la kuazima tena kwa Muha .. Cc Bashungwa
11 Reactions
37 Replies
1K Views
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema, Waumini wa Kanisa Katoliki wana kila sababu ya kujivunia ukatoliki wao bila kuyumbishwa au kutishwa na mtu yeyote...
4 Reactions
14 Replies
529 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mwanzoni mwa mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa ambapo mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano tayari umeanza na Serikali itashirikiana na...
6 Reactions
136 Replies
4K Views
Back
Top Bottom