Muuaji anakuja mbele ya runinga za watanzania Milioni 65 anawaambia nimeshaunda Tume ya Maridhiano, kama hili ndilo alilomuitia Mzee wetu Warioba Ikulu naomba wamshauri tu Mzee Warioba akae mbali...
Kama ilivyo hapo juu, ni kwanini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar?
Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi...
Marais wa awamu ya Pili hadi ya Tano wamehudhuria hapa mama maria nyerere yupo hapa pia kama mke wa mwasisi wa Taifa hili
Mh Rais amewazawadia marais wastafu zawadi ya ndege tausi 25 kila mmoja...
AHADI ZA SAMIA NDANI YA SIKU 100 BAADA YA KUCHAGULIWA (ATAKAYOFANYA)
1. Utazinduliwa rasmi mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio. Wakianza Wazee, Watoto, Wajawazito, na Wenye...
Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!
Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za...
Wana wa Mungu wana wataifa teule la Tanzania na wana wataifa la babu zenu Tanganyika haya ndio yata tukia ktk siku zijazo na kama mkiyaona basi inuweni vichwa juu na kumtukuza Mungu.
1. Patakuwa...
Marekani haitambui kiongozi yeyote anayechezea chaguzi kuu katika nchi yake, so inawatambua kuwa ni waharifu tu kama wengine na wakiona anamakosa hata ya kuonea raia aliowadhurumu haki zao...
Katika uhalisia wa maisha, hata kwa ngazi ya mtu binafsi, inapofikia suala la kupambania uhai wako, huwa upo tayari kutoa chochote ulicho nacho, na hata kukopa, ili tu kuokoa uhai wako, kama...
Kuna wakati Gerson Msigwa alikuwa mstari wa mbele kuwasema waandishi wa habari kujikita katika kuleta habari zenye uhakika na zenye kuzingatia balance na uhakiki, na zisizo zua taharuki kwa jamii...
Mwaka huu 2026 lazima tuhakikishe Samia na Wasaidizi wake wote waliohusika katika kuuwa maelfu ya Watanganyika wanapata wanachostahili iwe kutoka ICC au katika Mahakama yeyote ulimwenguni.
Pia...
Maajabu yaliyowahi kuwakumba wasabato kuwashangaa wasabato waliotaka kusafiri bila paspoti kwenda ulaya na Marekani yawakumba Wakatoliki kuwashangaa Wakatoliki waliokaa kimya wakati viongozi wao...
Inaelezwa kuwa, moja ya sifa kubwa na Papa mpya, Leo wa Kumi na Nne ni namna ambavyo anasimamia ukweli kupinga udhalimu na uonevu wa binadamu bila kujali mazingira yapoje.
Katika historia yake...
π ππ π π ππ₯ππ π‘π¬ππ₯ππ₯π ππ£π’πππ π‘ππ¦πππ‘π π¬π ππππ πͺπ π§ππππ
Mjane wa Baba wa Taifa na Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mama Maria Nyerere amepokea nishani ya heshima kutoka Jamhuri...
Walae wakatoliki 100 wa mchongo kutoka buza kwa lulenge , hatimae wameonekana wakiimba mapambio ya Yesu ndio mwamba huku nyuso zao zikionyesha wasiwasi mkuu. Lakini pia kulisikika sauti...
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa agizo kwa wizara za michezo na mashirikisho ya soka nchini (TFF na ZFA) kuangalia upya kanuni za mashindano ili kuwapa nafasi zaidi wachezaji...
Miaka ya 1980, Pablo Escobar, bepari mzito aliyefanya biashara ya madawa ya kulevya na mpenda anasa kutoka MedellΓn, Colombia akiamini mambo ya kawaida hayamtoshi, akaamua kunogesha makazi yake...
Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha...
Umoja wa Wanazuoni wa Kiislam wamemshukia Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kuhusisha ukimya wake na Hkatoliki wake.
Wameenda mbali na kumtuhumu kuwa ametumwa na Padri Kitima na viongozi...