Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hili suala lililotokea leo linaliabisha taifa unafikiri mabalozi na nchi duniani zinatuona tuna akili timamu kweli ? Hawa wapumbavu walioandamana leo niwaambie kile mtu anajua kuwa ni maigizo...
3 Reactions
14 Replies
363 Views
Wakati Wa Mkutano Na Waandishi Wa Habari Wa Wanaharakati Huru Joseph Yona,pamoja Na Ahmed Kombo ,Joseph Yona Ametumia Nafasi Hiyo Kuipongeza Timu Ya Taifa Ya Tanzania Taifa Stars Kwa Kufuzu Hatua...
1 Reactions
7 Replies
265 Views
Watakapokuja Wakatoliki halisi wanaojua kusoma na kuvaa kwa heshima mbele ya Balozi wa Papa, wakasoma tamko lao kuwataka Polisi wamkamate aliyempiga Fr. Kitima, na wamlete aliyeteka mapadre na...
1 Reactions
1 Replies
181 Views
Niseme machache tu wakuu, 1. Kwanza picha linaanza wakatoliki wamevaa vijora. Yaani mnaenda kwenye sehemu ya heshima, kwenye Ubalozi wa Vatican mmevaa vijora kweli? Kuna watu kwenye ile video...
43 Reactions
64 Replies
2K Views
Viongozi wa CCM wanajipanga kusherehekea kwa nguvu maadhimisho ya Mapinduzi Zanzibar. Hili ni tukio muhimu lenye kukumbusha na kuimarisha utambulisho wa Zanzibar na watu wake. Kwa miaka minane...
0 Reactions
1 Replies
219 Views
Tunataka Jeshi la Polisi liheshimu (with consistency) haki ya raia ya kujieleza (freedom of expression). Leo polisi wamefanya kazi yao kwa kuzingatia sheria. Kama sote tulivyoona, hawakuvuruga...
14 Reactions
34 Replies
754 Views
Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu. Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na...
3 Reactions
13 Replies
622 Views
Hili ni somo au mfano mkubwa sana kwa nchi zetu zinazoendelea na zinakabiliwa na vitisho kutoka kwa vibaraka wa mabeberu au wasaliti wa kiuchumi. Kumbe hata Tanzania inaweza kuandaa tukio la...
0 Reactions
7 Replies
167 Views
Kulikoni huko visiwani? Wakurugenzi Watendaji (DED’s) wa halmashauri zote za hapa Tanzania Bara wapo Zanzibar kwa kikao kazi. Kwanini Dodoma haitumiki tena? Gharama hizo nani anagharamia?
5 Reactions
17 Replies
671 Views
BBC, DW, CNN wapuuzia taarifa za maandamano ya watu 100 waliojitambulisha kama Wakatoriki huku vyombo vya habari vya ndani vikiripoti. Aidha waandanaji hao baada ya kuulizwa kuhusiana na...
4 Reactions
9 Replies
394 Views
Muuaji anakuja mbele ya runinga za watanzania Milioni 65 anawaambia nimeshaunda Tume ya Maridhiano, kama hili ndilo alilomuitia Mzee wetu Warioba Ikulu naomba wamshauri tu Mzee Warioba akae mbali...
2 Reactions
5 Replies
259 Views
Kama ilivyo hapo juu, ni kwanini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar? Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi...
12 Reactions
112 Replies
11K Views
Marais wa awamu ya Pili hadi ya Tano wamehudhuria hapa mama maria nyerere yupo hapa pia kama mke wa mwasisi wa Taifa hili Mh Rais amewazawadia marais wastafu zawadi ya ndege tausi 25 kila mmoja...
23 Reactions
304 Replies
39K Views
Binafsi sielewi labda kama wenzangi mnieleweshe. Kwa nini mda wote mh.Rais Yuko Dar badala ya Dodoma?
21 Reactions
182 Replies
12K Views
AHADI ZA SAMIA NDANI YA SIKU 100 BAADA YA KUCHAGULIWA (ATAKAYOFANYA) 1. Utazinduliwa rasmi mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio. Wakianza Wazee, Watoto, Wajawazito, na Wenye...
-2 Reactions
135 Replies
8K Views
Oktober imesimama! Oktoba ya Mama! Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za...
8 Reactions
212 Replies
10K Views
Wana wa Mungu wana wataifa teule la Tanzania na wana wataifa la babu zenu Tanganyika haya ndio yata tukia ktk siku zijazo na kama mkiyaona basi inuweni vichwa juu na kumtukuza Mungu. 1. Patakuwa...
63 Reactions
108 Replies
7K Views
Marekani haitambui kiongozi yeyote anayechezea chaguzi kuu katika nchi yake, so inawatambua kuwa ni waharifu tu kama wengine na wakiona anamakosa hata ya kuonea raia aliowadhurumu haki zao...
3 Reactions
11 Replies
317 Views
Katika uhalisia wa maisha, hata kwa ngazi ya mtu binafsi, inapofikia suala la kupambania uhai wako, huwa upo tayari kutoa chochote ulicho nacho, na hata kukopa, ili tu kuokoa uhai wako, kama...
0 Reactions
2 Replies
134 Views
Back
Top Bottom